Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

Wakuu mwenye clip ya hangaya akiinanga katiba naomba atupie hapa, maana wengine tulikuwa huku kijijini tamau.
 
Najiuliza tuu, hivi Raila Odinga au William Ruto anaweza kusema hivyo hadharani kuikashifu katiba ya Kenya afu mpk sasa kusiwe kumewaka mtaanii? Kiufupi CCM ilishawaona waTz ni wasengewasenge tuu,
Yaaaahh it's because of ujinga na ulofa wa wahusika (wananchi)
 
Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line.

Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho kinatuunganisha wote...

Ile Dhihaka haivumiliki hata kidogo ni dharau iliyopita kiwango kwa katiba yetu, Kama ana busara natarajia kumwona akiitolea ufafanuzi kauli yake.

View attachment 2748113
Wewe ndio waombe radhi wazee wako Kwa kuwa pumpkin head

View: https://www.instagram.com/p/CxJI0OAN63n/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Wacha porojo wewe, unatuletea zelensky huyo.

Huyo comedian tu kama alivyo mwanawe, typical.

Hapo alishaona dah, watu wanampenda na kumkubali Mwinyi, kila pahali ruksa ruksa ruksa, mjamaa akaanza vijembe.
Nyie watu ndo maana serikali yenu inatandikwa nyndo hamna adabu
 
Kwenye wananchi wajinga wapo na werevu wapo .hawa wanaoleta kashfa na lugha zisizo na staha kwa Mh. Rais ndio wajinga wenyewe kama na wewe upo jitathmini.
We nae Rais bongo? Hata kichaa anaweza kuwa rais ni suala la ccm tu wanachagua nani awe rais wa nchi basi, sasa hapo ndio utaona urais ni kitu cha maana bongo? Mwambie huyo Samia akagombee chama chengine halafu ccm wamsimamishe chizi uone nani ataingia Ikulu kati ya Samia au huyo chizi kutoka ccm.
 
Weka video clip ya maneno yake pia, baadhi hawamfatilii na hawataki kujua amesema nini, sio kila mtu huyo ni Rais wake
 
Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line.

Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho kinatuunganisha wote.
Mkwanja "mzito" aliojizolea ndani ya kipindi kifupi sana tena bila kujali katiba husika ndio umemfanya kujisahau.
Akumbuke kuwa katiba hiii ndio imemfanya awe raisi leo hii bila kupigiwa KURA
 
Back
Top Bottom