Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

Kwani umetumwa na nani kusema hivyo. Ungejisemea wewe 0amoja na waliokutuma ingependeza sana.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna neno alilolitamka kwa bahati mbaya! Alikusudia! Lengo ni kutupoteza pia kwenye mjadala wa bandari. Na ninaona wengi wameingia box. Mkija kushtuka waarabu wametapakaa mzizima.
 
Nenda kafanye kazi kaka wanao wale ugali,mwache Mama afanye kazi yake.
 
Hakika
 
Ujinga huo
 
Kitabu cha kusadikika
 
Hicho si ndiyo rais amesema ni kitabu tu kama kilivyo kitabu cha Adili na Nduguze? Kwani Katiba ina uwezo wa kumfanya kitu gani rais?
 
Rais apoteze muda kumjibu mjinga mmoja kama wewe uliona wapi tena ningekua mimi ningekuwa nawatukana tu kama marehemu magufuli maana kumbe hamna maana.
Duh! Una tabia ya fisi ya kuvizia mkono wa binadamu udondoke ili apate mlo! Haiyumkini wewe ni moja wa wasiomtakia mema huyo rais na unasali sala zote ili aanguke.
Rais amekosea na Kama kweli ni muungwana anatakiwa kusema poleni watanzania kwa kauli yangu.
Hivi angekuwa nchi za wanaojitambua sidhani Kama Leo angekuwa kwenye ofisi ya umma na huenda angeshtakiwa.
 
Kitabu chenu kitakatifu wewe na nani? Mbona unatujumuisha na sisi ambao hicho kwetu si kitakatifu? Unajua maana ya utakatifu lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…