Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

Kitabu chenu kitakatifu wewe na nani!

Hiyo katiba nani anaijua zaidi ya wanasiasa na wanasheria?
Maza naye haijui katiba. Kuna watanzania wengi tu wanaoijua katiba kuliko Maza na wanasiasa. Wala mwananchi wa kawaida hatakiwi kuijua katiba. Hakuna a nchi ambayo wananchi wake wanaoijua katiba. Watu wanajua haki zao na Watanzania wengi hawajui haki zao. Hii ndiyo sababu kubwa ambayo wenye mamlaka anaitumia kunyanyada raia.
 
Watu wapo bize na story za mange , mond na kina mwijaku insta....
 
Kosa lake ni lipi?
 
Kosa lake ni lipi?
Yeye ni binadamu kwanza kabla ya urais wake. Na hakuna binadamu asiyekosea kupitia kinywa chake. Ana hisia Kama binadamu wengine na huenda wakati wa hotuba yake hisia zake zilipaa juu zaidi Hadi kufikia hatua Ile ya kuita Katiba kitabu na mengine aliyoyaongea. Anatakiwa aseme kuwa alipitiwa Kama binadamu na aombe radhi. Umeelewa?
 
Hebu kama kweli unaakili timamu nijibu hii katiba ni kitabu au siyo kitabu? Halafu niambie kosa la Mh rais ni nini?
 

Attachments

  • Screenshot_20230913_213803_Google.jpg
    32.3 KB · Views: 1
Nchi inaongozwa hovyo sana, na machawa hata mkipewa kinyesi na mabwana zenu lazima mtakula
Rais apoteze muda kumjibu mjinga mmoja kama wewe uliona wapi tena ningekua mimi ningekuwa nawatukana tu kama marehemu magufuli maana kumbe hamna maana.
 

Wacha porojo wewe, unatuletea zelensky huyo.

Huyo comedian tu kama alivyo mwanawe, typical.

Hapo alishaona dah, watu wanampenda na kumkubali Mwinyi, kila pahali ruksa ruksa ruksa, mjamaa akaanza vijembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…