Rais Samia anavuna alichopanda, hana budi kuvumilia

Je, Mdude hafahamu kwamba bila mama kuweka jitihada zake na huruma wake mpaka leo angekuwa bado ananyea debe kama alivyokuwa ananyea wakati wa utawala uliyopita?
Huu ujinga wa kutaka mwanadamu aabudiwe utakomeshwa na katiba mpya. Ndiyo maana tunataka katiba mpya.
 
Mama kama unasoma huku mtandaoni,. Tunakuomba usiwachekee hawo watu wanaojiita wapinzani hawakawii kumwaga damu za watanzania ,. Tunakupenda sana ila hichi kikundi cha chadema wanataka kukudhalilisha mama wakazie

Kwani anayemwaga damu ni mpinzani kila ukikaribia uchaguzi ??
 
Ahahaha Magu bwana, eti Watch it! Duh; yule mzee sjui alienda kwa mganga gani maana we mtu gani unaogopeka vile ahahah hata mkiwa wawili chumbani mkianza kumzungumzia lazima mpunguze sauti..duh!
Wakati mungine mtu unaweza kuwa sio katili, lakini watu wakakufanya ukawa katili

(Hapa nimekuelewa sana) Na ndio wengi walikua hawamuelewi Magu. Hawa wanaojiita wapinzani wanahitaji style ya magu ili mambo yaende.
 
M
Habari zenu ndugu zangu,

Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa.

Raisi akaamua kupuuza ushauri wetu kwa kuanza timua timua ya viongozi wote waliokuwa wanashutumiwa na wapinzani humu mitandaoni bila kujali uchapaji wao wa kazi. Lakini raisi hakuishia hapo katika kutaka kuwafurahisha wapinzani na wanaolalamika mitandaoni, Rais akauonesha umma wa Watanzania na dunia kwa ujumla kwamba kuna watu walikuwa wameonewa na kukamatwa bila makosa yoyote chini ya utawala wa awamu ya tano na hata ya nne pia. Akaamua kutengeneza mazingira ambayo yamewasaidia wengi kutoka ndani ya vifungo vyao walivyokuwa wamefungwa kutokana na kesi mbalimbali.

Kati ya wafungwa hao walioachiwa kutokana na mipango au jitihada za mama ni wale mashehe wa uamsho, na yule muhindi ambao walikamatwa wakati wa utawala wa JK. Pia yupo kijana anaeitwa Mdude ambae alikamatwa wakati wa utawala wa JPM. Wote waliokamatwa wameonesha shukran zao kwa raisi kutokana na jitihada alizofanya mpaka kuachiwa kwao, lakini huyu Mdude yeye ameonekana kutoshukuru kwa lolote, anachofanya yeye ni kutafuta njia ya kumchafua raisi kana kwamba haoni jitihada zake katika kuachiwa kwake.

Je, Mdude hafahamu kwamba bila mama kuweka jitihada zake na huruma wake mpaka leo angekuwa bado ananyea debe kama alivyokuwa ananyea wakati wa utawala uliyopita? Hata hivyo simlaumu Mdude bali hii itumike kama fundisho kwa mama. Asiwe anafanya mambo kwa kufuata mashinikizo ya mitandao, bila shaka Rais Samia ashapata jibu kwamba ni kwanini watu aina ya kina Mdude waliwekwa ndani na hawakuachiwa hivi hivi. Wakati mungine mtu unaweza kuwa sio katili, lakini watu wakakufanya ukawa katili.

Rais Samia sasa inambidi avumilie maana ni kama vile kinyago amekichonga mwenyewe afu leo kinamtafuna pia ajue siku zote shukrani ya punda ni mateke.

Mjinga wewe nchi ina watu zaidi ya m.70
 
Wakati mungine mtu unaweza kuwa sio katili, lakini watu wakakufanya ukawa katili

(Hapa nimekuelewa sana) Na ndio wengi walikua hawamuelewi Magu. Hawa wanaojiita wapinzani wanahitaji style ya magu ili mambo yaende.
Yuko wapi sasa huyo jiwe amekuwa Ugali wa wadudu now
 
Wakati mungine mtu unaweza kuwa sio katili, lakini watu wakakufanya ukawa katili

(Hapa nimekuelewa sana) Na ndio wengi walikua hawamuelewi Magu. Hawa wanaojiita wapinzani wanahitaji style ya magu ili mambo yaende.
Zile style za kutekana eh?
 
Jamii forums imeingiliwa na watu wa ajabu kweli kweli! Hivi Mdude alitolewa na Mama au alishinda?

Hao Mashekh wa uamsho Kama wlikuwa na kosa, kwanini hawakufunguliwa mashtaka kwa miaka 8?

Mleta mada wewe ni wa hovyo Sana. Samahani lakini.
Kama haujui sababu na dhumuni la raisi Samia kumteuwa mwanasheria mkuu mpya wa serikali na kusisitiza usimamiwaji wa sheria kweny mahakama na kesi zinazosimamiwa na jamhuri, basi ww utakuwa huna unalolijua kuhusu kinachoendelea nchini. Haujiulizi kwanini masheikh wamekaa jela kwa zaidi ya miaka mitatu wakati wa utawala wa Kikwete, na miaka sita wakati wa utawala wa Magufuli lakini wakaja kutoka katika kipindi cha miezi mitatu tu ya raisi Samia. Hivyo hivyo kwa Mdude amekaa jela zaidi ya mwaka lakini amekuja kutoka ktk kipindi cha miezi matatu ya Raisi Samia. Sasa kama raisi Samia hana mkono wake katika hili imekuaje huko nyuma hakuweza kushinda kesi lakini baada ya raisi Samia kuingia kaweza kushinda kesi. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.
 
Huu ujinga wa kutaka mwanadamu aabudiwe utakomeshwa na katiba mpya. Ndiyo maana tunataka katiba mpya.
Kuna watu wanaamini bila Mbowe hakuna Chadema, inafika kipindi mpaka wanamlazimisha agombee tena uenyekiti hata pale muda wake wa uongozi unapofika kikomo. Watu hawa huzagaza ujumbe wao ndani ya chama na mitandaoni kwamba mwenyekiti Mbowe tuvushe, kana kwamba chama hakina viongozi au wanachadema wengine wenye maono ya kuongoza chama kama vile kina Lisu, Msigwa nk. Je hawa nao unawashaurije kuhusu katiba yao? Na unaonaje kama wakishinda uchaguzi na kuchukua nchi, kutakuwa na uwezekano wa kumuacha huyo Mbowe atoke madarakani kweli au watatumia wengi wao bungeni kubadilisha katiba ili Mbowe aendelee kutawala?
 
Hapa tunaongelea katiba ya nchi hatuongelei taasisi. Hizi taasisi zinatajifia huko lkn taifa letu litabaki.

Usiusinyaze ubongo wako kwa kuangalia katiba za TFF, TDEA na Chadema.
 
Habari zenu ndugu zangu,

Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa.

Raisi akaamua kupuuza ushauri wetu kwa kuanza timua timua ya viongozi wote waliokuwa wanashutumiwa na wapinzani humu mitandaoni bila kujali uchapaji wao wa kazi. Lakini raisi hakuishia hapo katika kutaka kuwafurahisha wapinzani na wanaolalamika mitandaoni, Rais akauonesha umma wa Watanzania na dunia kwa ujumla kwamba kuna watu walikuwa wameonewa na kukamatwa bila makosa yoyote chini ya utawala wa awamu ya tano na hata ya nne pia. Akaamua kutengeneza mazingira ambayo yamewasaidia wengi kutoka ndani ya vifungo vyao walivyokuwa wamefungwa kutokana na kesi mbalimbali.

Kati ya wafungwa hao walioachiwa kutokana na mipango au jitihada za mama ni wale mashehe wa uamsho, na yule muhindi ambao walikamatwa wakati wa utawala wa JK. Pia yupo kijana anaeitwa Mdude ambae alikamatwa wakati wa utawala wa JPM. Wote waliokamatwa wameonesha shukran zao kwa raisi kutokana na jitihada alizofanya mpaka kuachiwa kwao, lakini huyu Mdude yeye ameonekana kutoshukuru kwa lolote, anachofanya yeye ni kutafuta njia ya kumchafua raisi kana kwamba haoni jitihada zake katika kuachiwa kwake.

Je, Mdude hafahamu kwamba bila mama kuweka jitihada zake na huruma wake mpaka leo angekuwa bado ananyea debe kama alivyokuwa ananyea wakati wa utawala uliyopita? Hata hivyo simlaumu Mdude bali hii itumike kama fundisho kwa mama. Asiwe anafanya mambo kwa kufuata mashinikizo ya mitandao, bila shaka Rais Samia ashapata jibu kwamba ni kwanini watu aina ya kina Mdude waliwekwa ndani na hawakuachiwa hivi hivi. Wakati mungine mtu unaweza kuwa sio katili, lakini watu wakakufanya ukawa katili.

Rais Samia sasa inambidi avumilie maana ni kama vile kinyago amekichonga mwenyewe afu leo kinamtafuna pia ajue siku zote shukrani ya punda ni mateke.

Asanteni.

Hivi unaita watu wafugwa wakati hawajawahi kuhukimiwa 🤔. Hawa wote walikuwa mahabusu mashekh na mdude hawakusamahewa
 
Hapa tunaongelea katiba ya nchi hatuongelei taasisi. Hizi taasisi zinatajifia huko lkn taifa letu litabaki.

Usiusinyaze ubongo wako kwa kuangalia katiba za TFF, TDEA na Chadema.
Niandikie hapa vifungu vitano tu vya katiba ambavyo ww unaona havifai. Maana nisiwe nabishana na mtu aliemezeshwa propaganda mfu na kina Mbowe huku ww mwenyewe ukiwa haujui chochote kuhusu hii sheria iliyopo.
 
Kwa hiyo tuseme huyu Mama (Samia Suluhu) anafanya yale yale ya Mwendazake John P. Magufuli?

Kwamba, mahakama haikuzingatia sheria katika kutoa hukumu ya Mdude Chadema isipokuwa ilifuata maagizo ya Rais na kwa hiyo alitoka kwa "hisani ya Rais Samia Suluhu?"

Kumbe ndo maana mnamwandama hivi kiasi cha kutaka kumfanya kuwa mtumwa wa "hisani ya Rais Samoa" siyo?

Tukisema kuwa Rais Samia aweza kuwa Magufuli wa kike msishangae na ndiyo maana Mdude Chadema anasema "...wembe uliomnyoa Magufuli ndiyo huohuo utamnyoa na huyu mama!"

Kiukweli, kama mambo ndo yako hivi, basi Mimi naunga mkono hoja, wembe uleule uliomnyoa yule basi umnyoe na huyu.
Tatizo ni kwamba, hawa CCM walishamuhukumu Mdude badala ya mahakama, wao wakamkuta na hatia na kumfunga gerezani, sasa ile hukumu iliyotolewa na mahakama kumkuta Mdude hana hatia wao hawakuielewa.

Wameendelea kukomaa kaachiwa kwa "huruma ya mama" matokeo yake sasa wanataka kila alieachiwa na mahakama kwa makosa ya kubambikiwa aendelee kumsujudia Rais kwa huruma yake, akili zao zimelemaa.
 
Mama kama unasoma huku mtandaoni,. Tunakuomba usiwachekee hawo watu wanaojiita wapinzani hawakawii kumwaga damu za watanzania ,. Tunakupenda sana ila hichi kikundi cha chadema wanataka kukudhalilisha mama wakazie
Wamemdharau sana mama. Eti atake asitake wataendesha mikutano.
 
Mdude au wanasiasa wa chadema wanapokosa dhamana kwenye kesi zao huwa analaumiwa raisi (sio mahakama) kwa kuonekana kwamba ameingilia maamuzi ya mahakama. Lakini wanasiasa hao wanapopewa dhamana au kuachiwa kama ilivyotokea kwa Mdude hakuna mwanachadema anaeweza kuhusisha kuachiwa kwao na ushawishi wa raisi. Hao ndio wanasiasa wa tanzania tunaowajua hawatusumbui.
 
Naona hamumjui vizuri huyu mama siyo mpole kama mnavyofikiri...halafu hatumii nguvu anakuwekea mkate kwenye shimo la panya we are here!....tutaona....mama ni namba ingine na Psychology anajua kucheza nayo...we are here....halafu mnalaumu mama kumtia ndani Sabaya ina maana dharau alizokuwa Nazi hukuziona? Hiyo sabaya ,makonda na kina Ally happy walilewa madaraka..
 
JK walimfanyaje?
Huyu mama anacheza na upinzani, upinzani wa Tanzania si ule upinzani wa nchi za mabeberu akicheza na hawa watu watamfanya kama walivyomfanya JK huku Upinzani huku waraka wa mapadre na wachungaji.
 
Habari zenu ndugu zangu,

Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa.

Raisi akaamua kupuuza ushauri wetu kwa kuanza timua timua ya viongozi wote waliokuwa wanashutumiwa na wapinzani humu mitandaoni bila kujali uchapaji wao wa kazi. Lakini raisi hakuishia hapo katika kutaka kuwafurahisha wapinzani na wanaolalamika mitandaoni, Rais akauonesha umma wa Watanzania na dunia kwa ujumla kwamba kuna watu walikuwa wameonewa na kukamatwa bila makosa yoyote chini ya utawala wa awamu ya tano na hata ya nne pia. Akaamua kutengeneza mazingira ambayo yamewasaidia wengi kutoka ndani ya vifungo vyao walivyokuwa wamefungwa kutokana na kesi mbalimbali.

Kati ya wafungwa hao walioachiwa kutokana na mipango au jitihada za mama ni wale mashehe wa uamsho, na yule muhindi ambao walikamatwa wakati wa utawala wa JK. Pia yupo kijana anaeitwa Mdude ambae alikamatwa wakati wa utawala wa JPM. Wote waliokamatwa wameonesha shukran zao kwa raisi kutokana na jitihada alizofanya mpaka kuachiwa kwao, lakini huyu Mdude yeye ameonekana kutoshukuru kwa lolote, anachofanya yeye ni kutafuta njia ya kumchafua raisi kana kwamba haoni jitihada zake katika kuachiwa kwake.

Je, Mdude hafahamu kwamba bila mama kuweka jitihada zake na huruma wake mpaka leo angekuwa bado ananyea debe kama alivyokuwa ananyea wakati wa utawala uliyopita? Hata hivyo simlaumu Mdude bali hii itumike kama fundisho kwa mama. Asiwe anafanya mambo kwa kufuata mashinikizo ya mitandao, bila shaka Rais Samia ashapata jibu kwamba ni kwanini watu aina ya kina Mdude waliwekwa ndani na hawakuachiwa hivi hivi. Wakati mungine mtu unaweza kuwa sio katili, lakini watu wakakufanya ukawa katili.

Rais Samia sasa inambidi avumilie maana ni kama vile kinyago amekichonga mwenyewe afu leo kinamtafuna pia ajue siku zote shukrani ya punda ni mateke.

Asanteni.
Ashukuru nini wakati makesi yote mliyomfungulia ni feki? Kama wewe ndio unategemewa magogoni,basi hali ni mbaya sana kwa mbogamboga
 
Mama kama unasoma huku mtandaoni,. Tunakuomba usiwachekee hawo watu wanaojiita wapinzani hawakawii kumwaga damu za watanzania ,. Tunakupenda sana ila hichi kikundi cha chadema wanataka kukudhalilisha mama wakazie
Siyo kumwaga damu tu hata kuichukua nchi mikononi mwa CCM they are strategic.
 
Habari zenu ndugu zangu,

Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa.

Raisi akaamua kupuuza ushauri wetu kwa kuanza timua timua ya viongozi wote waliokuwa wanashutumiwa na wapinzani humu mitandaoni bila kujali uchapaji wao wa kazi. Lakini raisi hakuishia hapo katika kutaka kuwafurahisha wapinzani na wanaolalamika mitandaoni, Rais akauonesha umma wa Watanzania na dunia kwa ujumla kwamba kuna watu walikuwa wameonewa na kukamatwa bila makosa yoyote chini ya utawala wa awamu ya tano na hata ya nne pia. Akaamua kutengeneza mazingira ambayo yamewasaidia wengi kutoka ndani ya vifungo vyao walivyokuwa wamefungwa kutokana na kesi mbalimbali.

Kati ya wafungwa hao walioachiwa kutokana na mipango au jitihada za mama ni wale mashehe wa uamsho, na yule muhindi ambao walikamatwa wakati wa utawala wa JK. Pia yupo kijana anaeitwa Mdude ambae alikamatwa wakati wa utawala wa JPM. Wote waliokamatwa wameonesha shukran zao kwa raisi kutokana na jitihada alizofanya mpaka kuachiwa kwao, lakini huyu Mdude yeye ameonekana kutoshukuru kwa lolote, anachofanya yeye ni kutafuta njia ya kumchafua raisi kana kwamba haoni jitihada zake katika kuachiwa kwake.

Je, Mdude hafahamu kwamba bila mama kuweka jitihada zake na huruma wake mpaka leo angekuwa bado ananyea debe kama alivyokuwa ananyea wakati wa utawala uliyopita? Hata hivyo simlaumu Mdude bali hii itumike kama fundisho kwa mama. Asiwe anafanya mambo kwa kufuata mashinikizo ya mitandao, bila shaka Rais Samia ashapata jibu kwamba ni kwanini watu aina ya kina Mdude waliwekwa ndani na hawakuachiwa hivi hivi. Wakati mungine mtu unaweza kuwa sio katili, lakini watu wakakufanya ukawa katili.

Rais Samia sasa inambidi avumilie maana ni kama vile kinyago amekichonga mwenyewe afu leo kinamtafuna pia ajue siku zote shukrani ya punda ni mateke.

Asanteni.
Mdude aliahinda kesi hakuachiwa na rais.
 
Back
Top Bottom