Rais Samia anaweza kwenda Ivory Coast mwezi ujao

JK kweli anaiendesha vema serikali ya dadake.
 
Huyu Mama mwacheni tuu!. Angalia Tanzania inavyo shine kimataifa!. Mama Nenda kokote utakako itwa ili kuiletea Neema nchi yetu Tanzania.

Every time, I hear something good ambacho Mama Samia amefanya, na revist baadhi ya mabandiko yangu kumhusu Samia, I was dam right!.




 
Ngoja nichangamkie fursa kwa kuwasiliana na Elon Musk nimshawishi ampigie simu Chief Han Gaya ili aone jinsi tunaweza kufaidika kwa safari za "angani".
Kweli uongozi mgumu! JK alikuwa akisafiri kwenda ng’ambo kuhemea watu wakasema sana. Amekuja Uncle JPM akasema hasafiri kwenda nje anainyoosha kwanza nchi, raia tukalalamika ooooh Rais haendi nje anaua diplomasia, Tanzania inapotea kwenye uso wa Ulimwengu, nk, nk!! Amekuja Mama amesema inabidi aifungue nchi kwa kuhimiza diplomasia ya uchumi na utangamano, tumeanza ooooh Mama anasafiri sana! Mama fanya unachoona kinawafaa Watanzania na siyo kinachowafurahisha Watanzania tuliopo hapa. Kahemee, tafuta pesa, jenga madarasa, nunua CT-Scan mwaga nchi nzima, nunua ambulance za maana achana na ambulance za baiskeli na pikipiki, mwaga mitambo ya kuchimba visima, lete wawekezaji, lete watalii, n.k, n.k
 
Kuna siku ndege itadondoka Angani tutatumia tena katiba kumpata mpango kuwa Rais
 
Reactions: BRB
Mbona akiwa anasafiri sioni mumewe au akiwa kwenye ziara sioni, kama inavyokua viongozi wa kiume kutembea na wake zaoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…