Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Kwani huko nako kapewa mualiko? Si mpka Raisi wa inchi ya Simiyu imualike atakwendahivi Simiyu amefika kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huko nako kapewa mualiko? Si mpka Raisi wa inchi ya Simiyu imualike atakwendahivi Simiyu amefika kweli?
Huyu Mama mwacheni tuu!. Angalia Tanzania inavyo shine kimataifa!. Mama Nenda kokote utakako itwa ili kuiletea Neema nchi yetu Tanzania.Benki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji.
Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu leo hii.
Benki hiyo pia imempongezea Rais Samia kwa jinsi anavyoimarisha sekta binafsi.
Hakika...JK kweli anaiendesha vema serikali ya dadake.
Kweli uongozi mgumu! JK alikuwa akisafiri kwenda ng’ambo kuhemea watu wakasema sana. Amekuja Uncle JPM akasema hasafiri kwenda nje anainyoosha kwanza nchi, raia tukalalamika ooooh Rais haendi nje anaua diplomasia, Tanzania inapotea kwenye uso wa Ulimwengu, nk, nk!! Amekuja Mama amesema inabidi aifungue nchi kwa kuhimiza diplomasia ya uchumi na utangamano, tumeanza ooooh Mama anasafiri sana! Mama fanya unachoona kinawafaa Watanzania na siyo kinachowafurahisha Watanzania tuliopo hapa. Kahemee, tafuta pesa, jenga madarasa, nunua CT-Scan mwaga nchi nzima, nunua ambulance za maana achana na ambulance za baiskeli na pikipiki, mwaga mitambo ya kuchimba visima, lete wawekezaji, lete watalii, n.k, n.kNgoja nichangamkie fursa kwa kuwasiliana na Elon Musk nimshawishi ampigie simu Chief Han Gaya ili aone jinsi tunaweza kufaidika kwa safari za "angani".
Kuna siku ndege itadondoka Angani tutatumia tena katiba kumpata mpango kuwa RaisBenki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji.
Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu leo hii.
Benki hiyo pia imempongezea Rais Samia kwa jinsi anavyoimarisha sekta binafsi.
Dada yake? Wadengereko unawafahamu vizuri kuhusu wanawake weupe ?JK kweli anaiendesha vema serikali ya dadake.
Huko Simiyu kuna wawekezaji wa kuwavutia kuja kuwekeza?hivi Simiyu amefika kweli?
Allasane Ouatara!?Labda kaalikwa na Ali Hassan Quatara.