Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

Inawezekana kwakua hatuna akili tunaamini ni Rais ndio kajenga, ujinga wa kiwango Cha lami
Anatenga na kusimamia matumizi yake,huko nyuma kila mtu ana masharubu kama kambale,sasa ni vigezo na masharti kuzingatia.
 
Vimejengwa maeneo gani?

Tupate regular reports za tuweze kutambua maeneo ambapo ujenzi umefanyika.

Ili tukitaka kwenda kuhakiki na kuthibitisha kuwa kweli kazi imefanyika au la.

Au watu walioko maeneo hayo watuthibitishie kuwa ni kweli kazi imefanyika au la.
 
Hili deal nono sana aise,
 
Inawezekana kwakua hatuna akili tunaamini ni Rais ndio kajenga, ujinga wa kiwango Cha lami
Nafasi ya Rais kwenye maendeleo ya nchi sio ndogo, hakuna nchi duniani isiyo na kiongozi, lakini matokeo ya wao kuwa viongozi yapo tofauti sana; na kama urais hauna maana, mbona hata wapinzani wanautafuta sana?
 
Amejenga yeye siyo, Magufuli alifanya nini!
Acheni kumpa sifa ambazo siyo zake
 
Zahanati zilizopo zinatoa huduma bora?

Mnapata dawa ama mnaenda kununua duka la dawa nje hospital?

Nadhani angeboresha zilizopo kwanza...

Anakomaa na madarasa na Elim isiyokua tija,wasomi wasiokua na ujuzi wamejaza tele mitaani hajira hamna...

Angekomaa na vyuo vya ufundi,vijana waondoke na ujuzi.
 
Huo ni mkopo wa pesa za corona!! Mkopo utakuja kulipwa na riba juu. Kwa hiyo mkopo wa corona ndiyo uliomwezesha.
 
Mama Mwamba Sana yaani aise
 
Ni kodi za watanzania ndizo zinazojenga!

Anaendelea utekelezaji wa ilani ya Mwenyekiti wa CHAMA Tawala aliemrithi na huyo alikuwa mwanzilishi wa speed iliopo!!

Achana na hayo kazia hii Hapa;-

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato ukamilike"
 
Nikweli kodi za Watanzania ila zikisimamiwa na Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…