Rais Samia: Anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza

Uwaziri si suala la majaribio.. Tufanye 'vetting' za hali ya juu ili kupata Mawaziri 'vichwa' siyo wa majaribio..
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao. Amesema huenda ni uoga, lakini wanapeleka maamuzi kufanywa ngazi ya juu

Ameeleza hayo katika mahojiano maalum na Jambo Tanzania (TBC) akifafanua, "Nawaambia anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza. Nitakurekebisha mara ya kwanza, ya pili na ya tatu. Mara ya nne unaendelea kukosea nitajua huwezi kwenye hiyo nafasi"
ahaaa! sawa, kumbe kina lukuvi na kabudi walimkosea sana, akawaondoa nafasi zao na kuwapooza ikulu sio.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao. Amesema huenda ni uoga, lakini wanapeleka maamuzi kufanywa ngazi ya juu

Ameeleza hayo katika mahojiano maalum na Jambo Tanzania (TBC) akifafanua, "Nawaambia anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza. Nitakurekebisha mara ya kwanza, ya pili na ya tatu. Mara ya nne unaendelea kukosea nitajua huwezi kwenye hiyo nafasi"
Mpaka kosa la nne!?

Nafanya kosa la kwanza kusudi kwa kupiga urefu wa kamba tshs bilion10...naitwa narekebishwa🤔

Kosa la pili bilioni 5,la tatu bilioni 10,la nne b20..kisha naonekana siwezi hii nafasi...

45 billions,Easy naenda kuwa mfanyabiashara...WHAT A LAISSEZ-FAIRE LEADERSHIP!
 
Mpaka kosa la nne!?

Nafanya kosa la kwanza kusudi kwa kupiga urefu wa kamba tshs bilion10...naitwa narekebishwa[emoji848]

Kosa la pili bilioni 5,la tatu bilioni 10,la nne b20..kisha naonekana siwezi hii nafasi...

45 billions,Easy naenda kuwa mfanyabiashara...WHAT A LAISSEZ-FAIRE LEADERSHIP!
Huu urais wa kuteuliwa na Katiba ni upuuzi mtupu.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao. Amesema huenda ni uoga, lakini wanapeleka maamuzi kufanywa ngazi ya juu

Ameeleza hayo katika mahojiano maalum na Jambo Tanzania (TBC) akifafanua, "Nawaambia anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza. Nitakurekebisha mara ya kwanza, ya pili na ya tatu. Mara ya nne unaendelea kukosea nitajua huwezi kwenye hiyo nafasi"
Marais wakiwa Waislamu Wanakuwa na utu Sana na ubinadamu, nakumbuka magufuli alimfukuza mtu mbele ya hadhila ya wananchi,yule mtumishi akaizirai hapohapo, au Kama alivyomfukuza NAPE NNAUYE! mpaka Leo uwezi kujua kosa la Nape lilikuwa nini Zaid ya roho yake mbaya tu
 
Huyu mama kila akiongea anaharibu, anaonesha hawezi hata kuongea bila kujiuliza anachoongea kitaleta muonekano/mtazamo gani kwa jamii
Hila msukuma mwenzenu hayati ndio alikuwa anajua kuongea?!
 
Marais wakiwa Waislamu Wanakuwa na utu Sana na ubinadamu, nakumbuka magufuli alimfukuza mtu mbele ya hadhila ya wananchi,yule mtumishi akaizirai hapohapo, au Kama alivyomfukuza NAPE NNAUYE! mpaka Leo uwezi kujua kosa la Nape lilikuwa nini Zaid ya roho yake mbaya tu
Ubinadamu unaujua wewe? Unaropoka tu kwa udini wako!
 
Huyu mama kila akiongea anaharibu, anaonesha hawezi hata kujiuliza kama anachoongea kitaleta muonekano/mtazamo gani kwa jamii, she is so unfit in that position.

Kwa kauli yake hii na ile ya kula kwa urefu wa kamba zao sioni tena kama taifa tuna muelekeo wa kueleweka, naona wazi kabisa tunaongozwa na mtu asiejua anatupeleka wapi.
Nashindwaga kuelewa mama kwa nini kila akiongea huwa anajipinga mwenyewe na kukoseakosea.
Alisema akienda sehemu akikuta bango moja, DC au RC umekwenda na maji.
Akasema yeye hataongea kwa mdomo, Bali kwa kalamu.
Leo anasema atakuuita na kukurekebisha
 
Back
Top Bottom