Rais Samia: Anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza

Rais Samia: Anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza

Kwahio yeye ndio mrekebishaji ? Yaani anajua zaidi ?, Vipi kama anadhani aliyekosea amekosea wakati hajakosea ? Na vipi kama kitu ni technical hata yeye hawezi kurekebisha ?, Na vipi yeye akikosea ni nani wa kumrekebisha...

Haya mambo yakifuata utaratibu na sheria mambo yatakwenda na yasifuate maamuzi ya watu...., kwahio jambo likifanyike vigezo na masharti yazingatiwe....
 
Watanzania tumepigwa na kitu kizito kichwani... mie nishaanza kusikia maumivu makali... yale yale ya hadithi ya Nazi kichwani badala ya akili
 
Mama yuko sahihi, kuna makosa katika utendaji na maamuzi, lakini kuna wizi, ubadhilifu na uzembe, haya makundi mawili tofauti. Naamini anazungumzia kundi la kwanza, hiyo kundi la pili akibaini atachukiwa hatua tofauti.
Kwa kuwa Kiswahili watu wengi awaelewi ndio maana kinashindwa kupewa majukumu yake kama kufundishia na hata masuala ya kisheria!
 
Huo ndio uongozi bora!!kufukuza fukuza watu sio tija bali kuwarekebisha!!
Utakuta una cheti cha kubumba ndo maana unataka kurekebishwa,
Lak8ni kama ume pass kwa uwezo wako lazima uwe makini maana kuna jambo ukikosea unaghalimu maisha na uhai wa watu au nchi.
Kwa hiyo kufanya bila kujua athali nibupumbavu wa kiwango cha juu saana huku ukisubili ulekebishwe.
 
Ndio maana aliwaambia kabisa wale kwa urefu wa kamba zao, kwahiyo as long as unakwapua mali ya umma ndani ya mipaka yako ya uwaziri hakuna shida kabisa we tafuna tu.
 
Back
Top Bottom