Rais Samia: Anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza

Uwaziri si suala la majaribio.. Tufanye 'vetting' za hali ya juu ili kupata Mawaziri 'vichwa' siyo wa majaribio..
 
ahaaa! sawa, kumbe kina lukuvi na kabudi walimkosea sana, akawaondoa nafasi zao na kuwapooza ikulu sio.
 
Mpaka kosa la nne!?

Nafanya kosa la kwanza kusudi kwa kupiga urefu wa kamba tshs bilion10...naitwa narekebishwa🤔

Kosa la pili bilioni 5,la tatu bilioni 10,la nne b20..kisha naonekana siwezi hii nafasi...

45 billions,Easy naenda kuwa mfanyabiashara...WHAT A LAISSEZ-FAIRE LEADERSHIP!
 
Huu urais wa kuteuliwa na Katiba ni upuuzi mtupu.
 
Marais wakiwa Waislamu Wanakuwa na utu Sana na ubinadamu, nakumbuka magufuli alimfukuza mtu mbele ya hadhila ya wananchi,yule mtumishi akaizirai hapohapo, au Kama alivyomfukuza NAPE NNAUYE! mpaka Leo uwezi kujua kosa la Nape lilikuwa nini Zaid ya roho yake mbaya tu
 
Huyu mama kila akiongea anaharibu, anaonesha hawezi hata kuongea bila kujiuliza anachoongea kitaleta muonekano/mtazamo gani kwa jamii
Hila msukuma mwenzenu hayati ndio alikuwa anajua kuongea?!
 
Ubinadamu unaujua wewe? Unaropoka tu kwa udini wako!
 
Nashindwaga kuelewa mama kwa nini kila akiongea huwa anajipinga mwenyewe na kukoseakosea.
Alisema akienda sehemu akikuta bango moja, DC au RC umekwenda na maji.
Akasema yeye hataongea kwa mdomo, Bali kwa kalamu.
Leo anasema atakuuita na kukurekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…