Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia


Una raslimali unakimbizana na tozo ya pesa za walalahoi! Majizi ya kura mnakwama wapi?
 
Una raslimali unakimbizana na tozo ya pesa za walalahoi! Majizi ya kura mnakwama wapi?
Kwani unafikiri uingereza waliokuwa wanatozana Kodi hawakuwa na Rasilimali Kama sisi, Hata hizo Rasilimali zinahitaji mtaji ,teknolojia na Rasilimali watu iliyo Bora, kuweza kuzivuna,
 
Kwani unafikiri uingereza waliokuwa wanatozana Kodi hawakuwa na Rasilimali Kama sisi, Hata hizo Rasilimali zinahitaji mtaji ,teknolojia na Rasilimali watu iliyo Bora, kuweza kuzivuna,

Ni hivi, chama cha wazee mmefikia mwisho wa kufikiri, ndio maana mnaongoza nchi kwa mabavu na sio kwa maarifa. Ni vyema muache kuendelea kushurutisha kukaa madarakani, vinginevyo machafuko yawatoe.
 
Ni hivi, chama cha wazee mmefikia mwisho wa kufikiri, ndio maana mnaongoza nchi kwa mabavu na sio kwa maarifa. Ni vyema muache kuendelea kushurutisha kukaa madarakani, vinginevyo machafuko yawatoe.
Nani alete machafuko wakati wananchi wengi wapo na mh Rais wetu mpendwa, yaani wananchi walete machafuko wakati wanaona hela inayopatikana inajenga na kuboresha huduma za kijamii, Kama Ni shule, zahanati na vituo vya Afya wanaviona na wanafurahi kuona kuwa tozo zao zimefanikisha hayo na wanajivunia kuona jasho lao limetumika vyema

Sasa wataanzaje kuleta machafuko badala ya kuilinda miradi yao iliyo katika maeneo yao na iliyowapunguzia kero, watanzania tupo na mama yetu na tunamuunga mkono mh Rais wetu
 

Nasema hivi, chama cha wazee mmefikia mwisho wa kufikiri, mmebaki kutumia nguvu kuliko maarifa, ni bora mkae pembeni kwa amani ili wenye akili tofauti wasogeze taifa mbele.
 
Nasema hivi, chama cha wazee mmefikia mwisho wa kufikiri, mmebaki kutumia nguvu kuliko maarifa, ni bora mkae pembeni kwa amani ili wenye akili tofauti wasogeze taifa mbele.
CCM ndio chama Bora kimfumo na kimuundo katika ukanda huu wa Afrika mashariki na Kati, kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika yote kwa ujumla wake, Ni chama kinachokwenda na wakati, Ni chama kinachobadilika kulingana na Nahitaji ya wakati, nichama kinachogusa maisha ya wanyonge, Ni chama kinachotegemewa na watu wengi na kilichobeba matumaini ya makundi karibu yote,
 
Sijanunuliwa Bali huo ndio ukweli wenyewe kuwa Hakuna njia mteremko katika kuyapata maendeleo Kama Taifa, lazima tujifunge mikanda
Nani amesema mafanikio huja kwa mteremko?

Huoni bandiko lako limejaa ushabiki mtupu?
 
Hana uwezo huo ,why mnapenda mdanganya, mwambieni ukweli,
 

Huo ujinga wa kutawaliwa na CCM kwa mabavu ndio unazidi kuifanya Kenya iwe juu yetu kiuchumi. Kenya hapo wanabadili vyama kila mara na wako juu. Hakuna huu ujinga mnaolazimisha sijui wa kimuundo na kimfumo, huku mkitegemea vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kubaki madarakani.
 
Kusema mambo makubwa una maana gani?
Miradi ya maendeleo kila Kona, uwekezaji unaongezeka hivyo kusaidiaa katika utoaji wa ajira kwa vijana hapa nchini na hii imechagizwa diplomasia yetu kwa Sasa kuwa imara kutokanaa na juhudi za mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, biashara kwa Sasa zinaenda vizuri na wafanyabiashara wanafanya kwa Uhuru na amani huku wakilipa mapato vizuri serikalini

Demokrasia kwa Sasa imeendelea kunawili kutokanaa na mh Rais wetu kufanya mazungumzo ya Mara kwa Mara na wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa, matunda take ndio hayo unayaona kwa Sasa kila mtu akihubiri habari za Aman mshikamano upendo na umoja
 
Sasa mkuu kama hali ipo hivyo kama unavyoeleza inakuaje kunakuwa na kauli kutoka kwa viongozi kuwaambia wananchi kuhamia burundi?
 
Yaani wewe mwigulu kweli umeamua kubadili ID ili uje kutuambia huu ujinga? Kwani marais waliotangulia wao walikuwa wanaendeshaje nchi bila kuwaibia wananchi? A big shame on you, bastarf fool!
Mtalia Lia wewe ila Come 2025 mtakapokuta kila Kijiji na kitongoji kina umeme,kila kijiji kina maji,Kila kijiji kina Zahanati,Kila kata ina kituo Cha Afya,Kila kijiji kinapitika Kwa barabara,Kila kijiji kina shule nzuri na nyumba za watumishi ndipo mtakuja kujiona Kwamba mlikuwa wajinga tuu.
 
Asalii,asalii,asali,

Eteeee

Jana mtoto wa mmoja ya salama asali
Amelitukana jeshi la polisi


Asali imelambwa Hadi imemwagikaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ¦žπŸ¦žπŸ¦žπŸ¦žπŸ¦€πŸ¦€πŸ¦€πŸ¦€πŸ’±πŸ’±πŸ’±πŸ’±
 
Sasa mkuu kama hali ipo hivyo kama unavyoeleza inakuaje kunakuwa na kauli kutoka kwa viongozi kuwaambia wananchi kuhamia burundi?
Hizo Ni kauli kuonyesha kuwa sisi watanzania tunapaswa kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe na kwamba hatuna wakuja kutujengea nchi yetu, nakama Kuna anayezani Kuna nchi ambayo ipo kwa ajili ya kukaa tu Raha mstarehe huku wengine wakihenyeka Basi aende hata Burundi, lakini hata huko Burundi ukienda utakuta nao wanajenga nchi yao kwa Kodi zao

Hivyo suluhisho ni kuwa wazalendo na kuipenda nchi yetu na kujivunia, hakuna Raha katik maisha unapokuwa unamiliki kitu huku ukijuwa kimetokana na juhudi zako, kwanza kinakupa hata hamasa ya Kuendelea kupambana ili upate Zaid na zaidi

Tuendelee kuamini kuwa nchi hii kupitia mikono yetu ndioo itaendeleaa na kupiga hatua za kimaendeleo na siyo mikopo au misaada yenye kila aina ya mashariti, au umesahau kuwa tumewahi kunyimwa mkopo kisa Sera yetu ambayo ilisema mtoto wa kike akipata ujauzito hataweza kurudi tena katika shule ya serikali?
 
Wote isipokuwa Mwalimu walituahidi hivyo. Matokeo ni hapa tulipo.
 
Wote isipokuwa Mwalimu walituahidi hivyo. Matokeo ni hapa tulipo.
Changamoto zinaongezeka kwa kadiri miaka inavyokwenda maana hata watu nao tunaongezeka siku Hadi siku, ndio maana unaona mh Rais akiijenga nchi hii kwa ajili hata ya wale watakaozaliwa kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…