The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sawa Kazi yetu kuwaonyesha anachofanya harafu mtajijibu wenyewe huko 👇Hana uwezo huo huyo mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Kazi yetu kuwaonyesha anachofanya harafu mtajijibu wenyewe huko 👇Hana uwezo huo huyo mama
Wataelewa tuuu hata wakijifanya kujipa upofu wa makusudi, Ndio maana huku mitaani mh Rais wetu anakubalika Sana siku Hadi siku, Hali ambayo imepelekea hata upinzani kukosa ajenda na Sera za kuuzika kwa wananchiSawa Kazi yetu kuwaonyesha anachofanya harafu mtajijibu wenyewe huko 👇
Sasa nani kasema kuwa haya malalamiko ni kwamba watu wanataka kukaa tu? Kama watu wameka tu hizo tozo wangezipata vp? Wao ndio wanalipwa mishara mikubwa na bado wanapata huduma muhimu BUREEE kabisa ila wewe ukihoji tu mfano labda gharama kubwa za matibabu(wao wanatibiwa bure) unaambiwa kama hutaki uende burundi.Hizo Ni kauli kuonyesha kuwa sisi watanzania tunapaswa kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe na kwamba hatuna wakuja kutujengea nchi yetu, nakama Kuna anayezani Kuna nchi ambayo ipo kwa ajili ya kukaa tu Raha mstarehe huku wengine wakihenyeka Basi aende hata Burundi, lakini hata huko Burundi ukienda utakuta nao wanajenga nchi yao kwa Kodi zao
Hivyo suluhisho ni kuwa wazalendo na kuipenda nchi yetu na kujivunia, hakuna Raha katik maisha unapokuwa unamiliki kitu huku ukijuwa kimetokana na juhudi zako, kwanza kinakupa hata hamasa ya Kuendelea kupambana ili upate Zaid na zaidi
Tuendelee kuamini kuwa nchi hii kupitia mikono yetu ndioo itaendeleaa na kupiga hatua za kimaendeleo na siyo mikopo au misaada yenye kila aina ya mashariti, au umesahau kuwa tumewahi kunyimwa mkopo kisa Sera yetu ambayo ilisema mtoto wa kike akipata ujauzito hataweza kurudi tena katika shule ya serikali?
Huduma za Afya zinaendelea kuboreshwa bajeti Hadi bajeti,siku Hadi siku, lakini pia gharama zinaendelea kupunguziwa pale inapoonekana panaatahili kufanywa hivyo, Sera mbalimbali na Sheria zinaendelea kurekebisha ili kuweka mazingira Bora na rafiki ya kila mtanzania kupata huduma na kuhudumiwa hata Kama anatoka familia ya chini, ndio maana unaona kwa Sasa mama mjamzito hatakiwi kutozwa fedha akienda kujifunguaSasa nani kasema kuwa haya malalamiko ni kwamba watu wanataka kukaa tu? Kama watu wameka tu hizo tozo wangezipata vp? Wao ndio wanalipwa mishara mikubwa na bado wanapata huduma muhimu BUREEE kabisa ila wewe ukihoji tu mfano labda gharama kubwa za matibabu(wao wanatibiwa bure) unaambiwa kama hutaki uende burundi.
Kiongozi lazima awe na previllagesSasa nani kasema kuwa haya malalamiko ni kwamba watu wanataka kukaa tu? Kama watu wameka tu hizo tozo wangezipata vp? Wao ndio wanalipwa mishara mikubwa na bado wanapata huduma muhimu BUREEE kabisa ila wewe ukihoji tu mfano labda gharama kubwa za matibabu(wao wanatibiwa bure) unaambiwa kama hutaki uende burundi.
Kwa hiyo falsafa ndiyo inakusanya Kodi, inajenga mabarabara, inajenga zahanati na inakuza uchumi. Fact kwamba wewe hujui Falsafa ya Samia siyo kwamba hana Falsafa.Nyie chawa Watanzania sio wajinga huwezi kuwa kiongozi wa taifa ambaye hata ukimuuliza falsafa gani ya Uchumi anayo tumia hajui kitu hata nyie chawa hamjui lolote na bado mna ndoto za maendeleo ya kutoka wapi?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu unaongea kama vile shughuli za kimaendeleo zilikuwa zimesimama huko nyuma kwa sababu hakukuwa na huu utiriri wa tozo uliyokuwepo sasa, miaka yote hii ya utawala wa ccm bado tunazungumzia mambo yaleyale tu, hivi hayo uliyoyaeleza unadhani yalishindwa kufanyika awamu zilizopita kwa sababu gani hadi leo hii hizi tozo ndio mtete kuwa zinaenda kufanya hayo mambo?Huduma za Afya zinaendelea kuboreshwa bajeti Hadi bajeti,siku Hadi siku, lakini pia gharama zinaendelea kupunguziwa pale inapoonekana panaatahili kufanywa hivyo, Sera mbalimbali na Sheria zinaendelea kurekebisha ili kuweka mazingira Bora na rafiki ya kila mtanzania kupata huduma na kuhudumiwa hata Kama anatoka familia ya chini, ndio maana unaona kwa Sasa mama mjamzito hatakiwi kutozwa fedha akienda kujifungua
Hii inasaidia wanawake wengi kwenda kujifungulia hospitali na kuepusha vifo vya mama na mtoto Kutokea kuliko Kama mama angejifungulia nyumbani kwake
Lakini pia huduma za kijamii zinazidi kusogezwa karibu zaidi na mwananchi ili kupunguza adha ya kusafiri na kutembea umbali mrefu kufuata huduma ziliko, Hali hii inasaidia hata kuokoa muda na pesa
Basi waache kauli za dharau kwamba kama hatutaki hizo tozo(zenye kulipia gharama za maisha yao ya kifahari) tuhamie burundi, na pia wakumbuke kuwa si kwamba ni spesho bali hatuwezi watu wote kuwa viongozi na waangalie hali halisi wapunguze gharama za kugharamia hayo maisha yao ya kifahali kutoka kwenye kodi zetu maana sio sisi ndio tunapitia ugumu ila wao hakuna kinachobadilika.Kiongozi lazima awe na previllages
Ndio nini hiki umeandika wewe chawa?Mtalia Lia wewe ila Come 2025 mtakapokuta kila Kijiji na kitongoji kina umeme,kila kijiji kina maji,Kila kijiji kina Zahanati,Kila kata ina kituo Cha Afya,Kila kijiji kinapitika Kwa barabara,Kila kijiji kina shule nzuri na nyumba za watumishi ndipo mtakuja kujiona Kwamba mlikuwa wajinga tuu.
Tofauti kati ya Kiongozi na Comedian
Nadhani umeijua Tz kwenye awamu hii.Nasisitiza iwe kwa tozo au kwa njia nyingine vitakapoonekana mtasahau mambo ya tozo na kusema Hakika huyu aliona Mbali..
Mda utasema.