Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Sioni kama unayozungumza yana ukweli kwa kiasi kikubwa.Wewe itakuwa ni hao hao walioathirika wa historia.Mwarabu anavyomtreat mzungu sio sawa na amavyo m treat mwafrica
Jambo la pili waarabu wako too tricky nimefanya nao kazi zaidi ya miaka 15 nawajua vizuri mambo yao hayajanyooka hasa ao waarabu wa Dubai huwa wana calculate risk kwao tuu sio kwako
Pia wakipata wanachokitaka hukimbia mail Mia na kukuacha solemba
Hivyo Rais asichukulie poa hili swala ni linahitaji umakini mkubwa
Toa mfano wa huo ujanja ambao umeona uko kwa waarabu peke yao.
Miradi mingapi iliyofanywa na waarabu halafu wakatuacha solemba na mingapi imefanywa na wazungu.
Kwenye miradi mikubwa ndio kwanza tunasikia habari za waarabu miaka hii michache iliyopita huenda ni kutokana na wazungu kupoteza sifa kwa kuchanganya miradi yao na ufisadi na masharti yasiyohusika kama vile ushoga na pia wazungu kupata kipigo cha Mwenyezi Mungu.
Kwa maana hiyo kuwatolea mfano waarabu haiendani na ukweli wa matukio isipokuwa ni chuki.