Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

Sioni kama unayozungumza yana ukweli kwa kiasi kikubwa.Wewe itakuwa ni hao hao walioathirika wa historia.
Toa mfano wa huo ujanja ambao umeona uko kwa waarabu peke yao.
Miradi mingapi iliyofanywa na waarabu halafu wakatuacha solemba na mingapi imefanywa na wazungu.
Kwenye miradi mikubwa ndio kwanza tunasikia habari za waarabu miaka hii michache iliyopita huenda ni kutokana na wazungu kupoteza sifa kwa kuchanganya miradi yao na ufisadi na masharti yasiyohusika kama vile ushoga na pia wazungu kupata kipigo cha Mwenyezi Mungu.
Kwa maana hiyo kuwatolea mfano waarabu haiendani na ukweli wa matukio isipokuwa ni chuki.
 
Mwarabu siku zote anamwona Mwafrika kama mtumwa na anamdharau mikataba yake na nchi za kiafrika ni tofauti ma nchi za ulaya. Milele mwarabu anamwogopa Sana mzungu
 
Uje na sababu haswa ni kwanini ashindwe kuwa kiongozi. Kasumba hizi za mtaani zitaishia kukupa maumivu ya moyo.
Nimefuatilia huu mjadala, watu wengi wanaonyesha Rais anazungukwa, Bado hawaamini moja kwa moja Kama Hilo suala analifahamu kiundani, ndio maana watu wengi wanapeleka lawama bungeni, kimsingi jinsia yake inamlinda watu kumshambulia moja kwa moja kupitia udhaifu wa huu mkataba, angekuwa mwanaume mishale ingempata moja kwa moja, kuanzia Sasa nakuendelea ninayoyaona kwa TULIA na namba moja napendekeza mwanamke asiwe kiongozi wa serikali.
 
Mkuu umeandika kwa vijembe ila kelele zetu zinasaidia hao wabunge wengi njaa tupu mpaka kichwani ila yote kwa yote mambo yawekwe hadharani maana huu muungano una mashaka muda wowote tunaweza kawana Sasa tukiingia mkataba mbovu sisi tanganyika sindo itakula side yetu
 
Alaumiwe JPM aliyemchukua kuwa makamu wake tangu 2015. Kwa taarifa yako Rais anao washauri wenye elimu na wazalendo pengine kuliko mimi na wewe, wanaishi kwa kazi hiyo maalum ya kumshauri Rais.

Usichukulie poa tu watu usiofahamu elimu zao, busara zao na hekima zao.
 
Kama wewe ni mtanzania halisi inakubidi ujifunze kuwa mzalendo. Tanzania kuweza kuingia katika makubaliano na DP World ni faida kwetu sisi kuliko Kenya waliokosa hii biashara haswa na DRC pamoja na Rwanda.
 
Too late samaki ameshameza chambo
 
Waarabu tunafanya nao kazi na biashara, tunawajua vizuri.. ni heri anagepewa Mchina hiyo bandari ila sio hawa wahuni.
 
Hujaelewa kasome tena
 
Waarabu tunafanya nao kazi na biashara, tunawajua vizuri.. ni heri anagepewa Mchina hiyo bandari ila sio hawa wahuni.
Mimi yangu tahadhari kwa Mh. Rais asiende mzima mzima
 
Nimefuatilia huu mjadala, watu wengi wanaonyesha Rais anazungukwa, Bado hawaamini moja kwa moja Kama Hilo suala analifahamu kiundani, ndio maana watu wengi wanapeleka lawama bungeni...
Tatizo limeanza kwenye mkataba
 
Mwarabu siku zote anamwona Mwafrika kama mtumwa na anamdharau mikataba yake na nchi za kiafrika ni tofauti ma nchi za ulaya. Milele mwarabu anamwogopa Sana mzungu
Absolutely ndio maana kwa kusoma kilichoandikwa kwenye mikataba nikapata kujua nia na position yao
Wamejiweka superior na wakati Rasilimali ni zetu
 
Mnapoteza muda kutoa ushauri.

Akitoka kusoma huu ujumbe anaangusha bomu jingine.

She is just incompetent Thats all.
 
Umeanza vizuri ila hapo ulipomtaja nyangumi chenge ndio umezingua hyo fisadi kwenye nchi zinafuata sheria angekuwa ameshanyongwa licha ya kuwa bado yupo bungeni mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…