Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii.
Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa wafanyakazi wa serikali. Ingekuwa jambo la maana kama wazembe hawa watasakwa kwa gharama zozote zile.
Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa wafanyakazi wa serikali. Ingekuwa jambo la maana kama wazembe hawa watasakwa kwa gharama zozote zile.