Rais Samia aokoa TZS 100bn kila mwezi Bandari ya Dar es Salaam pesa inayoweza kujenga madarasa mapya 5,000 kila mwezi

Naweza kuwa baba yako mzazi ni vile hatujuani.

CCM wapo kivitendo zaidi nyinyi wapiga kelele mnaendelea kuandika upupu humu jukwaani.
Siwezi kuwa na baba mwendawazimu namna hii, wewe mwenyewe unaishi kwa shemeji ako utalisha kitu gani familia? Bando lenyewe unatumia la dada ako
 
Sasa anakopa ili iweje na deni la taifa why linapaa
 
Mbona Bado kuna foleni kubwa ya meli coco beach?
Mbona Bado watz wanachukulia mizigo Mombasa?
 
Kuna wajinga walipinga DP world eti bahari imeuzwa😂
 
Kazi Utu
 
Hii nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…