Rais Samia aokoa TZS 100bn kila mwezi Bandari ya Dar es Salaam pesa inayoweza kujenga madarasa mapya 5,000 kila mwezi

Nakubali
 
Naona CAG hakugusa kabisa mkataba wa DP World kwenye taarifa ya ukaguzi inayoishia Juni ,2024.
Kwa Nini?
 
Mama anadai chenji
 
Hajajenga hayo madarasa, hizo pesa ziko wapi??
 
Hakuna mtuu anaeweza kwenda kuwekeza kwenye hasara hata skumoja bandar Inafaida sema after ajira hakunaga tena mzalendo sababu kilamtuu anataka alee hao wawekezaji mbona hawaogopi kupoteza hizo billion unataka uniambie hichokikampuni kinauchumi mkubwa kuliko Taifa la tnzania nzima? kamwe hupaswi kuleta urafiki kwenye maendeleo.
Ila hakuna mtuu ambae hataki 10% 😂😂hata weunaelaumuu sahv wazabuni watanielewa
 
TRUE LIEAS,TUENDELEE KULA MTORI NYAMA IKO CHINI
 
Kama ana okoa pesa nyingi hivyo kwa nini anazidi kukopa zaidi na zaidi na pesa anayokopa hailingani na gharama ya miradi inayo daiwa kua sababu ya yeye kukopa 😳 we jamaa ni mpumbavu wa kiwango cha lami
 
Tunatiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…