Rais Samia aokoa TZS 100bn kila mwezi Bandari ya Dar es Salaam pesa inayoweza kujenga madarasa mapya 5,000 kila mwezi

Pole mkuu DP world ni bonge la investment watanzania tujivunie
Ajira za tiks zilimezwa zote Leo hii sisini watu wa kupangiwa na kizmkazi kweli kabisa,yaani watu laki nane wanatupangia watu millioni sabini
 
Ajira za tiks zilimezwa zote Leo hii sisini watu wa kupangiwa na kizmkazi kweli kabisa,yaani watu laki nane wanatupangia watu millioni sabini
Acha propaganda hizo zimepitwa na wakati mkuu, manufaa mbona tunapata sote
 
Tunajivunia tumepata mwekezaji bora wa kimataifa, pato limeongezeka hata ambao nilikuwa mnapinga mtafaidika pia
Watu walipinga mkataba.

Hakuna mtu anapinga uwekezaji mzuri.

Tuambie DP na mkataba wa miaka mingapi?
 
Wakuu mbona bado matumizi ya Bandari ya Mombasa yameongezeka hata kwa Watanzania shida nini sasa hapo nahumu mmeboresha? Na kule hawana mwekezaji kama huyu anaesifika


No reform No Election
Duuuh
 
Tunajivunia tumepata mwekezaji bora wa kimataifa, pato limeongezeka hata ambao nilikuwa mnapinga mtafaidika pia
Karne ya ishiri na Moja unakaribisha wanyonyaji wakati Kagame anasema angetoboa na bandari pekee
 
Anaemlipa Disco Joker ndiye anaechagua nyimbo.
 
Madarasatu.
Mbona hamtaji vijana wangapi kupata ajira?
Mbona hamtaji vituo vya afya?
Mbona hamzungumzii mitaji kwa wafanya biashara?
 
Mbona haitumiki kupunguza deni la nchi ambalo linapaa kila uchao... unaleta hesabu za matiki
 
Nguvu inayotumika kumnadi bibi ni kubwa sana, hii ni kiashiria kwamba kuna mahala kuna shida
 
Kama sanaa na michezo imeongoza kuchangia pato la taifa basi muujiza wowote unawezekana nchini kwetu.
 
Safi
 
Mbona anakopa kama hana akili nzuri kujenga madarasa?
Mwambieni alipe madeni aliyotuwekea Watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…