Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hapa tulipigwa, anafanya nini huko badala ya kurudi kwenye janga na huku siyo mjumbe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu wamebarikiwa sn, ingekuwa wazanzibar wenzake wapo huko chini angeishia masaa 96? zoezi linatakiwa liende mpk hata wiki 2 hata kama ni maiti tuzioneTanzania nchi yangu.....
Kuna wakati nadhani sijui ni Magomeni quarters au wapi NHC walikuwa wanatoa watu kwa nguvu ili wavunje nyumba. Mzee MMOJA mstaafu na mkazi wa hapo akamwita mwandishi wa ITV karibu akamwambia najuta sana kuwa Tanzania, nilipata nafasi ya kuhamia nje nikakataa ila Sasa najuta......... Muda sana umepita....
Sasa kweli hii ni kitu hata ya kutoa tamko..... Jengo lisachiwe watu waokolewe wote. Na Leo asubuhi nimesikia hao waokoaji wamesikia sauti zinaomba msaada humo. Kwahiyo yakiisha hayo 24 waachwe wachanganywe na kifusi?????
Hivi mshawahi sikia sera ya USA kuwa no man will be left behind??.... Yaani iwe vitani au Hawa tourists au hata Hawa expatriate iwe amekufa iwe Yuko hai atarudishwa nyumbani....
Huko Chile mnakumbuka miners walikwama zaidi ya miezi miwili na waliokolewa...... Siku 69 mwaka 2010... Sasa sisi tuna law of limitation kwenye suala kama hili.
Sababu wale siyo ndugu zake ndiyo maana yupo nje badala ya kuwa kwenye janga kama kiongoziWao wakifa wanataka tuwazungushe Tanzania nzima kalibu mwezi mzima, leo wapendwa wetu wanapewa masaa ya kuokolewa?Kweli inawezekana sisi ni zaidi ya maiti
Zimeshaanza kutolewaDah siasa kazini. Hapo mama anaomba pongezi kwa chawa wake.
Jengo Moja tu uokoaji unafanyika kwa zaidi ya siku ya tatu hadi leo hii, Je, endapo kama lingetokea tetemeko la Ardhi na kusababisha labda majengo mia Moja kuporomoka hivi tungeweza kweli kufanya uokoaji hata wa mtu mmoja???Wakuu,
Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee?
Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa wamefika maeneo yote? Naona kama kuna watu wataachwa huko wajifie!
=====
View attachment 3155882View attachment 3155883
Tuna viongozi wa hovyo snBadala ya kupunguza yale maloba na mizigo ambayo ilikuwa aina shida yeyote.......kazi kuongeza uzito tu.........lakini wenye vidigirii ndio wanajiona wanajua wakati yale maloba yanazidi kuongeza uzito............PUNGUZENI MALOBA HAYO NA MIZIGO MINGINE GHOROFA LIWE JEPESI MFANYEKAZI CHAP CHAP........ujuaji mwiiiiiingiiiii kisa nina digirii .........digirii inaongeza damu kwani
Hapa tulipigwa haswa kwa huyu maza ni aibu tupuAkili za kukariri hizi, kuna watu luluki wametoka hai hapo au hata TRA, Brela wana list ya biashara zilizomo humo.
Mpaka sasa serikali ingekuwa walau na idadi ya calculated guess ya watu waliotakiwa kuwe mule ndani. Wangeongea na wafanya biashara waliotoka wazima wangekuwa na picha bado ajapatikana, alikuwa floor ipi, then upate picha ya wateja wanaokuwa mule mida ya ile ya asubuhi etc kuhusu kupata rough estimate unadhani kuna miili mingapi bado.
Kufanya maamuzi tu ya kukisia mtu mwenyewe hata nchini hayupo, yaani mpaka ujasikia hata wakitoa estimate ya watu wanaodhani walikuwa ndani.
Toa pongezi mkuu , ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka.Kwahiyo hapa pia anataka pongezi?
Wakuu,
Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee?
Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa wamefika maeneo yote? Naona kama kuna watu wataachwa huko wajifie!
=====
View attachment 3155882View attachment 3155883
Yaani walio field wenyewe hawakuona umuhimu wa kuongeza siku?Wakuu,
Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee?
Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa wamefika maeneo yote? Naona kama kuna watu wataachwa huko wajifie!
=====
View attachment 3155882View attachment 3155883
Kumbe pia kuna jambo la kujifunza kwa hapo baadae kwenye magorofa kuwe na entrance counter, mashine ya kuhesabu idadi ya walio ingia na kutoka inayoweza kuzirusha taarifa maana na yenyewe pia inaweza ikafukiwa na kifusiAkili za kukariri hizi, kuna watu luluki wametoka hai hapo au hata TRA, Brela wana list ya biashara zilizomo humo.
Mpaka sasa serikali ingekuwa walau na idadi ya calculated guess ya watu waliotakiwa kuwe mule ndani. Wangeongea na wafanya biashara waliotoka wazima wangekuwa na picha bado nani ajapatikana, alikuwa floor ipi, then upate picha ya wateja wanaokuwa mule mida ile ya asubuhi etc kuhusu kupata rough estimate unadhani kuna miili mingapi bado.
Kufanya maamuzi tu ya kukisia mtu mwenyewe hata nchini hayupo, yaani mpaka sasa hatujasikia hata wakitoa rough estimate ya watu wanaodhani walikuwa ndani, inakwambia jinsi walikvyokuwa hawajajiandaa na mambo kama haya.
Sio wahanga, ni waathirika! Wahanga ni watu wanaojitolea kufa! Mfano wanaojilipua Kwa mabomu!Pongezi Kwa Rais Samia
Amewajali wahanga
Ameonyesha utu wake
Mama ishi sana Rais wetu