Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu ya Chamwino Dodoma

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
Your browser is not able to display this video.



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022.




#CCMImara
#KaziIendelee
 
Ww inaonekana ni hasara kwa wazazi wako ....hivi watu wako madarakani miaka 60 uje ulinganishe na watu wanaopambana kuingia madarakani huku wakipitia changamoto kali ...
 
Mpitishe na Yasin Lema wa huko Hai Kilimanjaro akawe mjumbe wa Kamatu ya siasa ya Mkoa ili ampitishe saashisha mafue 2025.
 
Hapa mimi Nina tatizo au hii mada imekosewa why CC ya ccm ikutane state House?,ilitakiwa ikutane kwenye ofisi za ccm sio serikali, ndio maana ninaamini kuwa ccm inatumia fedha za serikali kuendesha chama chao, hii ni makosa makubwa pamoja na kuwa viongozi wengi wa ccm ni MUMPSIMUS!
 
Wahuni tu hawa wanajulikana
 
Aah kumbe akina wasira bado wapo ndo maana nchi inayumba kama nyumba ya makuti
 
Hawa ni watu wenye roho mbaya tu Ndio maana miili yao inanyauka tu
 
Alianzisha mwendazake sasa imekuwa kawaida hakuna anaejali
 
CHADEMA JENGENI KWANZA OFISI KAMA WENZENU WA ACT SIO KUTAFUNA TU RUZUKU

CHADEMA imepokea lini ruzuku?. Msajili katangaza hadharani CHADEMA imekataa kupokea ruzuku. Halafu CHADEMA haifanyi mambo kujilinganisha na ACT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…