Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
CCM imechoka na imechokwa sanaView attachment 2400660
View attachment 2400661
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022.
View attachment 2400662
View attachment 2400663
View attachment 2400664
View attachment 2400666
#CCMImara
#KaziIendelee