Hawa viongozi wa CCM hata ukiwatazama tu Unaona kabisa dhamira yao ya dhati Katika kulitumikia Taifa hili,
Tofauti kabisa na Wapinzani wao wawapo kwenye Vikao vyao utawaona ni watu wa mashaka mengine na Njaa Kali
View attachment 2400668
Angalieni hii tofauti, HAKIKA CCM ipo Sana madarakani