GE2025 Rais Samia aongoza kikao cha uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Baraza la Wawakilishi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe mashetani, madhulumu haki yamekutana leo ili kugawana madaraka!! Laana kuu ya Mungu, tunaomba ikawe juu yao. Yagawane madaraka, lakini kamwe yasionje furaha, amani wala uzima wa rohoni.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Haitusaidii
 
Hana jipya...anakwenda kuwaidhinisha akina Salma na ridhiwani, doto, mchengerwa, wamejizima data kwa muda
 
Kikao Cha wahuni anaowaita polepole
Mwenye chuki na Rais Samia Suluhu Hassan ndio wanapoteza muda na polepole !!!

japo polepole hana chochote cha maana anacho ongea lkn bado chuki ndio sinawasumbua kiasi ya kushangilia maneno ya mfamaji tupu ya polepole..
 
21st August 2025! A day to remember.. Time is 20:00 East Africa time
 

Bado hatutaki kumwaga oil?
 
Mwenye chuki na Rais Samia Suluhu Hassan ndio wanapoteza muda na polepole !!!

japo polepole hana chochote cha maana anacho ongea lkn bado chuki ndio sinawasumbua kiasi ya kushangilia maneno ya mfamaji tupu ya polepole..

Futungo si watu wazuri!
 
Hapo kila mmoja akivua nguo,amejaa mahirizi na madawa mwili mzima 😀
 
Bunge limeshavunjwa? Vipi baraza la mawaziri mbona bado wanafanya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…