Rais Samia aongoza kikao ujumbe rasmi wa Tanzania na Zambia

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2025.



 
Namuona mzee wa Bumbuli,kapumzika na kelele za umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…