Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Hii maana yake.
Kiwango cha chini wameongezwa 25% na kiwango cha juu wameongezwa 100+%.
Hapa inadhiirisha wakurugenzi, wakuu wa idara kupanda juu ndio wafaidika kwakuu wa ongezeko hili.
na kurogana pia kutaongezeka....chezea laki mbili na 50,siku 4 nje ya kituo ni Milioni 1,hapo mtu atajifosia kwa mwezi apate angalia siku 8 za nje ya kituo chake cha kazi
 
Kwan filamu imetengenezwa kwa ajili ya mtanzania au mtu wa nchi za mbali hususani ulaya, Asia na America ..? Wewe mtz huwez kuwa mlaji, wewe ndio.unaejua hivyo vichache vilivyopo wageni au watu wa mbali hawajui wakiona watataka kuja kujionea mengi.
Rudia kuandika naona umechanganya mlenda na biriani..

Unakurupuka Sana ndugu
 
walaji mbona wapo mkuu...mfano tukiproduce mafuta ya kula , sukari badala ya kuagiza nje, huoni uchumi utakuwa., ni bidhaa gani tunayoproduce haina walaji?.... Na walaji sio lazima wawe wa ndani, hata nje kuna soko kubwa sana....Happo Rwanda bidhaa za Bahresa zimejaa
 
ila kuanzia hiyo July unaweza kushangaa safari zikawa mbinde yani mpaka upate safari utasugua sana benchi, kwaiyo bajeti ya safari za watumishi inakua ileile tu kama ya zamani/hata ikapungua & at the same time serikali ya mama imechukua credit kutoka kwa watumish kwa kupandisha viwango vya hela za safari(mi nawaza tu lakini)
 
Dah aisee naona gap bado siyo zuri ilitakiwa iwe 100k, 200k na 250k
 
Mbona huproduce sasa?
 
Watu wengi wamedhani kupanda 120k-250k kirahisi tu, ila kipindi cha sasa scale zote za juu mwisho ni 120k uwe mkufunzi umetoka Dodoma kuja mikoani kutoa semina unaramba hicho, ila kwa ongezeko hilo kuna wa rate za 120k, 150k, 180k, 210k, na 250k
 
Tuwe wakweli huyu Bibi kama anatupoteza hivi
 
Hii ni neema. Watu watasahau salaries sasa waanze kuishi kwa posho tu. Officer akisafiri 8 days tu, anajikunjia hela sawa na mshahara wa mwezi mzima

Safari zitaanza kutengenezwa kwa kasi ambayo haijawahi kutokea
 
Ooooh kumbe ndo hivyo, nikajua OC yaongezeka
 
Uchumi utamshinda 2025 yenyewe mbali. Akifika huko tutakuwa tumechoka nchi ibaki na madeni. Kuja kurudi kwenye mstari sahihi ni miaka 30 mingine
Kwa kukopa anakopa kuzidi aisee ila kifanyikacho hatuoni,
 
Hii ni hatari sn sababu mbunge ataaongezewa kutoka 340,000 kwa siku mpaka 500,000+ na wakati kuna mtu mshahara wake ni 360,000 kwa mwezi na hapo kuna makato
Wabunge lazima wataongezewa pia kwa kisingizo mafuta yamepanda, gharama za maisha zimepanda, kama mlikubali wengine mishahara iongezeke basi na wabunge nao itaongezeka kwa asilimia zile zile
 
mkuu kwenye bajeti review kule mbele ndio zitachomekwa hizo da kweli kila mtanzania saizi analamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…