The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
πππππππawamu hii ya sita kama unaroho mbaya kama za yule mfalme basi utapata taabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππawamu hii ya sita kama unaroho mbaya kama za yule mfalme basi utapata taabu sana
Unataka tukuonyeshe alivyofanya? Wenye chuki binafsi nawachungulia tuu mnavyoumia π€£π€£π€£π€£π€£Huyu mama kila ushauri anaopewa anakubali tu,,, .atamaliza muda wake hakuna alichofanya...
Ndio na 120,000 imekuwa kwa watumishi wa kawaida na 100,000 kwa wahudumuWakubwa wote kuacha wale top 3 pengine na Katibu Mkuu kiongozi na Jaji Mkuu ..
Ila ndio mpaka upate activities Ili kupata pesa Hizo mkuu.Ndio na 120,000 imekuwa kwa watumishi wa kawaida na 100,000 kwa wahudumu
Acha kujifanya mjuajiWakubwa wote kuacha wale top 3 pengine na Katibu Mkuu kiongozi na Jaji Mkuu ..
Kawaida sanaIla ndio mpaka upate activities Ili kupata pesa Hizo mkuu.
Viongozi ilikuwa 120, maafisa wa kawaida 100 na kada nyingine 80 kwa safari za kikazi ktk mikoani, Sasa Kama viongozi watakula 250, maafisa wa kawaida wanakula ngapi maana watumishi kada nyingine mpya inakuwa 100Wameongezwa 20,000 kutoka 80,000-100,000 madereva na wahudumu viongozi 120,000-250,000
150,000Viongozi ilikuwa 120, maafisa wa kawaida 100 na kada nyingine 80 kwa safari za kikazi ktk mikoani, Sasa Kama viongozi watakula 220, maafisa wa kawaida wanakula ngapi maana watumishi kada nyingine mpya inakuwa 100
Ok mkuu watumishi wa Umma wanatengenezewa maslahi wakati wakulima mvua hakuna150,000
Tuanze kukopa kuwalipia poshoOk mkuu watumishi wa Umma wanatengenezewa maslahi wakati wakulima mvua hakuna
Hata mishahara ipo hivyo hivyo, kiwango cha juu 3M+ ,,kiwango cha chini 700K -.Mbona hakuna uwiano kati ya kiwango cha chini na kiwango cha juu
Kuna mbwa mmoja alikuwa anakopa mabilioni kununua ndege za kuja kutupa hasara ni bora hayo mabilioni angelipa mshahara watu wale pesa zaoUchumi utamshinda 2025 yenyewe mbali. Akifika huko tutakuwa tumechoka nchi ibaki na madeni. Kuja kurudi kwenye mstari sahihi ni miaka 30 mingine
Hamna jema aisee.....Hakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum ...![]()
![]()