Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Huyu mama kila ushauri anaopewa anakubali tu,,, .atamaliza muda wake hakuna alichofanya...
 
VIzuri sasa mchape kazi hatutaki visingizio. Hongera Rais kwa kuwajalia watumishi wa umma.
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa watumishi wa umma ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=

Aidha nampongeza kufanya hivo kwani gharama za bidhaa mbalimbali nchini zimepanda maradufu. Hata hivyo isingekuwa sababu za vita vya ukraine na urusi mimi ningeshauri angalie namna bora ya kuthibiti mfumuko wa bei zaidi ya hapo mbeleni naona inflation ikipaa zaidi.
 
Hiyo ni kauli ya nyongeza iliyosemwa na ndumbaro
 
Huyu mama kila ushauri anaopewa anakubali tu,,, .atamaliza muda wake hakuna alichofanya...
Hatari sana tusijeachwa kwenye financial crisis za hatari. Manake kama unachopata ie kutoka kwenye makusanya ya kodi na mauzo ya nje ni kidogo kulinganisha na kile unachotumia. Sio afya kwenye uchumi wa nchi
 
120,000 kwa siku...
Unatumia 50000 una save 70000 daily

Ova
 
mama wa kizanzibari kamzidi ujanja mfalme wa Burigi chato,

hatutaki ubabe tunataka vitu kaa izo Mbengoo zemefongokaaaaa
Tatizo la mfalme wenu hajui kutafuta pesa,hana connection plus ushamba..

Mtoto wa mjini na mchunga Ng'ombe wapi na wapi?
 
Mbona kiwango cha juu mnajiongezea Tshs.130000 wakati ngazi za chini mnawaongezea Tshs.40000 tu?. Hata hivyo wenye mahoteli, nyumba za kulala wageni na sisi tutapandisha gharama zetu.
Ndio ilivyo mkuu utafanyaje sasa wakubwa Wana kamba ndefu..

Pili Ili umpe amri vizuri wa chini lazima umzidi parefu
 
Back
Top Bottom