Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Michawi itakufa mapema kwa pressure.Kabsa mkuu. Hasa wale wa legacy's
Watuache watumishi tule mema ya Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michawi itakufa mapema kwa pressure.Kabsa mkuu. Hasa wale wa legacy's
na kurogana pia kutaongezeka....chezea laki mbili na 50,siku 4 nje ya kituo ni Milioni 1,hapo mtu atajifosia kwa mwezi apate angalia siku 8 za nje ya kituo chake cha kaziHii maana yake.
Kiwango cha chini wameongezwa 25% na kiwango cha juu wameongezwa 100+%.
Hapa inadhiirisha wakurugenzi, wakuu wa idara kupanda juu ndio wafaidika kwakuu wa ongezeko hili.
Ipi hiyo 120,000?120,000 kwa siku...
Unatumia 50000 una save 70000 daily
Ova
Rudia kuandika naona umechanganya mlenda na biriani..Kwan filamu imetengenezwa kwa ajili ya mtanzania au mtu wa nchi za mbali hususani ulaya, Asia na America ..? Wewe mtz huwez kuwa mlaji, wewe ndio.unaejua hivyo vichache vilivyopo wageni au watu wa mbali hawajui wakiona watataka kuja kujionea mengi.
Nilichojifunza watanzania hata akija yesu watamkataaa pia maana wao hawajui wanataka nini.? Yaani mtu anapuuzia maboresho madogo madogo yanayo fanyika hakika ana matatzo.Michawi itakufa mapema kwa pressure.
Watuache watumishi tule mema ya Tanzania
Nilichanganya nyuzi. Ila anachofa mhe Raisi ni jambo jema vitu vimepanda bei na miaka imesonga hakukuwa na nyongeza hivyo ni wakati sahihi na wala hawaja kurupuka. Wametafiti kwa kinaRudia kuandika naona umechanganya mlenda na biriani..
Unakurupuka Sana ndugu
walaji mbona wapo mkuu...mfano tukiproduce mafuta ya kula , sukari badala ya kuagiza nje, huoni uchumi utakuwa., ni bidhaa gani tunayoproduce haina walaji?.... Na walaji sio lazima wawe wa ndani, hata nje kuna soko kubwa sana....Happo Rwanda bidhaa za Bahresa zimejaaUtaproduce kama hakuna walaji 😂😂😂😂😂😂😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬..
Do you know even the incentive to produce?
Tuachie wenye taaluwe wewe jikite upande wako..
Mbona huproduce sasa?walaji mbona wapo mkuu...mfano tukiproduce mafuta ya kula , sukari badala ya kuagiza nje, huoni uchumi utakuwa., ni bidhaa gani tunayoproduce haina walaji?.... Na walaji sio lazima wawe wa ndani, hata nje kuna soko kubwa sana....Happo Rwanda bidhaa za Bahresa zimejaa
Ooooh kumbe ndo hivyo, nikajua OC yaongezekaWatu hamuelewi,hiyo haiongezi bajeti ya serikali bali bajeti ni ile ile ila kilichobadilika ni rates..
Mfano kama mlikuwa na bajeti ya supervision ya sh.15mln kwa mwaka mnatakiwa kuitumia hiyo hiyo kwa rate mpya..
Mkimaliza mapema hiyo imekula.kwenu Kazi lazima zifanyike.
Kwa kukopa anakopa kuzidi aisee ila kifanyikacho hatuoni,Uchumi utamshinda 2025 yenyewe mbali. Akifika huko tutakuwa tumechoka nchi ibaki na madeni. Kuja kurudi kwenye mstari sahihi ni miaka 30 mingine
Wabunge lazima wataongezewa pia kwa kisingizo mafuta yamepanda, gharama za maisha zimepanda, kama mlikubali wengine mishahara iongezeke basi na wabunge nao itaongezeka kwa asilimia zile zileHii ni hatari sn sababu mbunge ataaongezewa kutoka 340,000 kwa siku mpaka 500,000+ na wakati kuna mtu mshahara wake ni 360,000 kwa mwezi na hapo kuna makato
Ndio umuambie mama yako Samia sasa .... Sio anakopa kulipa posho watumishi.Mbona huproduce sasa?
Yeye ndio anazalisha? Zalisha wewe uuzeNdio umuambie mama yako Samia sasa .... Sio anakopa kulipa posho watumishi.
Roho mbayaHakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
mkuu kwenye bajeti review kule mbele ndio zitachomekwa hizo da kweli kila mtanzania saizi analamba asaliila kuanzia hiyo July unaweza kushangaa safari zikawa mbinde yani mpaka upate safari utasugua sana benchi, kwaiyo bajeti ya safari za watumishi inakua ileile tu kama ya zamani/hata ikapungua & at the same time serikali ya mama imechukua credit kutoka kwa watumish kwa kupandisha viwango vya hela za safari(mi nawaza tu lakini)