Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Wa chini ni wengi sana kuliko walioko juu, ndio maana wamefanya hivyo.
 
kuna taasisi nyingi ambazo hata hazina OC sasa nashangaa hizo taasisi zitawalipaje watumishi hizo posho.wametengenezewa wakubwa wapate kula zaidi na wa chini wabaki na shida zao.amka tanzania.
 
2021 au 2022?
 
Yote kwa yote mama bado ameupiga mwingi yajayo yatafurahisha wengi hata wachache wasio na OC watanufaika na mengine ya mama
 
kuna taasisi nyingi ambazo hata hazina OC sasa nashangaa hizo taasisi zitawalipaje watumishi hizo posho.wametengenezewa wakubwa wapate kula zaidi na wa chini wabaki na shida zao.amka tanzania.
ndio uhamie kwenye asali njoo TRA mkuu siku hizi kuhama fasta tu hamna figisu
 
Bora na sisi tulambe asali kama waleee
 
Ala kumbe safari zimeruhusiwa siku hizi, maana ilikuwa mpaka kibali toka ikulu ndiyo unachomoka bongo.
 
Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Vimetumika vigezo gani? Ili kuwa fair ilitakiwa kuwepo ushirikishwaji badala ya wakubwa kujipandishia na wadogo kutofikiriwa vilivyo
 
Ukiingia serikali utayakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…