sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kuanzia mwaka kesho machine zitafanya kazi hiyo.Hizo posh zina husu na waalimu wanao simamia mitihani na kusaisha? Au ni watumishi wengini wa juu zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia mwaka kesho machine zitafanya kazi hiyo.Hizo posh zina husu na waalimu wanao simamia mitihani na kusaisha? Au ni watumishi wengini wa juu zaidi
Wa chini ni wengi sana kuliko walioko juu, ndio maana wamefanya hivyo.Sawa, Ila watu wa chini nyongeza Yao inasononesha. Wenzao toka 120,000 Hadi 250,000 zaidi kidogo ya mara mbili ya kiwango cha hapo awali. Wao toka shilingi 80,000 hadi 100,000 yaani wameongezewa robo tu ya kiwango cha hapo awali. Ama kweli aliyenacho...
Hata hizo nyongeza ndio kazi yenyeweHuyu mama kila ushauri anaopewa anakubali tu,,, .atamaliza muda wake hakuna alichofanya...
🤣🤣🤣🤣Safi Sana ,pesa itakuja kuzunguka mtaani Sasa maana miaka 6 iliyopita Nchi ilikuwa ngumu kama tumetoka vitani na Russia.
Hii ni kufuru atasabisha inflation balaa
Acha watu walambe asali wewe.Hakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
Tunaumia walipa kodi, unalipwa extra duty 60,000 kwa kazi ipi?Acha watu walambe asali wewe.
kuna taasisi nyingi ambazo hata hazina OC sasa nashangaa hizo taasisi zitawalipaje watumishi hizo posho.wametengenezewa wakubwa wapate kula zaidi na wa chini wabaki na shida zao.amka tanzania.Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000
Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.
View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
2021 au 2022?Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000
Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.
View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
ndio uhamie kwenye asali njoo TRA mkuu siku hizi kuhama fasta tu hamna figisukuna taasisi nyingi ambazo hata hazina OC sasa nashangaa hizo taasisi zitawalipaje watumishi hizo posho.wametengenezewa wakubwa wapate kula zaidi na wa chini wabaki na shida zao.amka tanzania.
Na pia hao wa chini wana matatizo kidogo sana na hivyo hakuna sababu ya kuwaongeza fedha nyingi.Wa chini ni wengi sana kuliko walioko juu, ndio maana wamefanya hivyo.
Bora na sisi tulambe asali kama waleeeRais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000
Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.
View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
Wewe unajua kazi zipi zinastahili?Tunaumia walipa kodi, unalipwa extra duty 60,000 kwa kazi ipi?
Vimetumika vigezo gani? Ili kuwa fair ilitakiwa kuwepo ushirikishwaji badala ya wakubwa kujipandishia na wadogo kutofikiriwa vilivyoWatumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Asipokuwa makini watamuingiza chaka, ametengeneza tabaka kubwa sana miongoni mwa watumishiHakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
Ukiingia serikali utayakutaPosho zinalipwa kwa ngazi ya mshahara au elimu ? Mm sijaelewa mfano mshahara wa TGS D as first entry(degree) na TGS D certificate ila amefikia ngazi hiyo kwa kupanda madaraja posho hawa wanalipwaje, in shortly allowance are being categorised by grade of salary scale regardless level of education au being handled by level of education ??????
Acha wee tumeteseka sana miaka mitano iliyopitaHii ni kufuru atasabisha inflation balaa
Pamoja na yote huwezi kutoka 120,000 ukaenda 250,000 maanake OC yote itaishia kwenye posho na wanufaika wakubwa ni viongozi Afisa wa kawaida mwaka unaweza kuisha bila kusafiriAcha wee tumeteseka sana miaka mitano iliyopita