Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Sawa, Ila watu wa chini nyongeza Yao inasononesha. Wenzao toka 120,000 Hadi 250,000 zaidi kidogo ya mara mbili ya kiwango cha hapo awali. Wao toka shilingi 80,000 hadi 100,000 yaani wameongezewa robo tu ya kiwango cha hapo awali. Ama kweli aliyenacho...
Wa chini ni wengi sana kuliko walioko juu, ndio maana wamefanya hivyo.
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000

Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.

View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
kuna taasisi nyingi ambazo hata hazina OC sasa nashangaa hizo taasisi zitawalipaje watumishi hizo posho.wametengenezewa wakubwa wapate kula zaidi na wa chini wabaki na shida zao.amka tanzania.
 
2021 au 2022?
 
Yote kwa yote mama bado ameupiga mwingi yajayo yatafurahisha wengi hata wachache wasio na OC watanufaika na mengine ya mama
 
kuna taasisi nyingi ambazo hata hazina OC sasa nashangaa hizo taasisi zitawalipaje watumishi hizo posho.wametengenezewa wakubwa wapate kula zaidi na wa chini wabaki na shida zao.amka tanzania.
ndio uhamie kwenye asali njoo TRA mkuu siku hizi kuhama fasta tu hamna figisu
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000

Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.

View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
Bora na sisi tulambe asali kama waleee
 
Ala kumbe safari zimeruhusiwa siku hizi, maana ilikuwa mpaka kibali toka ikulu ndiyo unachomoka bongo.
 
Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Vimetumika vigezo gani? Ili kuwa fair ilitakiwa kuwepo ushirikishwaji badala ya wakubwa kujipandishia na wadogo kutofikiriwa vilivyo
 
Posho zinalipwa kwa ngazi ya mshahara au elimu ? Mm sijaelewa mfano mshahara wa TGS D as first entry(degree) na TGS D certificate ila amefikia ngazi hiyo kwa kupanda madaraja posho hawa wanalipwaje, in shortly allowance are being categorised by grade of salary scale regardless level of education au being handled by level of education ??????
Ukiingia serikali utayakuta
 
Back
Top Bottom