Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes according to hii sheria mpyaMeaning, baada ya miaka 12,5 pensheni inakoma, au?
Watu wa imani ile ya kule kazi yao ni kujenga misingi imara ya uchumi, wakija wa ile imani nyingine ya kule, kazi yao ni kulambisha watu asali, kutoa Ruksa na kuuza open space na mbuga 😂; wakirudi wa ile imani nyingine wanaanza tena na moja, daaaPerdiem.
Tsh
250k , 220k,170k,150k
kwa Jiji
200k,180k,150,130k
kwa Manispaa
130k,120k,100k, 80k
kwa Halmashauri
Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva.
Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41]
Wastaafu kulamba 33%pensheni na monthly ya 67% kwa miaka 12.5 tu.
Habari kamili tukutane July Mosi.
Kwahyo ni kweli jamaa analoliuliziaYaani kama umekamata Kitengo,usipojenga ghorofa,utakua mbwiga sana.Zembeazembea kumaliza kazi,upige hela za extra duties ipasavyo.
Duh! Huo uhuni sasa..Yes according to hii sheria mpya
72.5yrs unaanza kuomba kama hukujijenga mapema, anza kuwekeza sasahivi aiseeDuh! Huo uhuni sasa..
Yaani as you grow older, say beyond 70+ huko, unalazimika kuwa omba omba🙄
Kwa kweli72.5yrs unaanza kuomba kama hukujijenga mapema, anza kuwekeza sasahivi aisee
Jipange wakati una nguvuHivi baada ya miaka 70 utaishi vp, sio kwamba wamekurupuka
Ameen mkuuAkizipata mtumishi atakupa kibarua, hela utakayomtajia atakupa kwa sababu anayo, hatolialia. Maisha tunategemeana. Mkuu acha pesa izunguke mtaani!!! Zama za yule mzee katili zimeisha.
YESU KRISTO ni BWANA.
Nilipokuwa mdogo nilitamani Sana kuajiriwa serikali lkn ndiyo hivyo kilakitu MUNGU ndiye anapanga Acha tuendelee kupigania maisha Hadi mwisho WA safariPambana mkuu ipo siku hautokuja kujuta kwanini haukuajiriwa serikalini
Hakikaa mkuu hatuwezi wote tukawa serikali I...Ndio fungu lenu
Una mwongozo wowote?Perdiem.
Tsh
250k , 220k,170k,150k
kwa Jiji
200k,180k,150,130k
kwa Manispaa
130k,120k,100k, 80k
kwa Halmashauri
Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva.
Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41]
Wastaafu kulamba 33%pensheni na monthly ya 67% kwa miaka 12.5 tu.
Habari kamili tukutane July Mosi.
Watu wa imani ile ya kule kazi yao ni kujenga misingi imara ya uchumi, wakija wa ile imani nyingine ya kule, kazi yao ni kulambisha watu asali, kutoa Ruksa na kuuza open space na mbuga 😂; wakirudi wa ile imani nyingine wanaanza tena na moja, daaa
Mkuu uwe unauliza kistaarabu utajibiwa acha kejeli, hayo ni maamuzi ya kikao kazi kilichofanyika jana.Una mwongozo wowote?
Hakuna kitu cha hovyo kama kujadili umbeya kwa kuuchukulia kama ndio uhalisia.
Maamuzi ya kikao gani?Mkuu uwe unauliza kistaarabu utajibiwa acha kejeli, hayo ni maamuzi ya kikao kazi kilichofanyika jana.
Jifunze adabu, what if nikikuambia nilikuwepo kwenye kikao hicho, unataka muongozo subiri utapewa na HR wako siku ukitoka
Nimekuambia kikaokazi unataka nini zaidi mkuu??Maamuzi ya kikao gani?
Uislam haufundishi kuhusu uchumi atleast aina ya Uchumi unaotawala Dunia ya leo, Duniani nchi zote zilizoendelea aidha zinafwata Western Christianit philosophy au hata Budhism Confucianism ya Asia (Japan, Korea, China, Taiwan, Singapore au hata sasa hivi Vietnam inakuja pia), na nchi za kiislam zilizotajirika kama Saudia au Emirate na Katar wanauza tu resource lkn siyo kujenga Uchumi endelevu manufacturing research and development, hivyo Islam ni tatizo.
Ndiyo maana Waislamu wanapinga na kusabotage Bwawa la Nyerere ambalo lingeingiza > 2000MW na kushusha bei ya umeme ambapo ni good news kwa uchumi, hawaelewi hiyo logic, wameng’ang’ania uchuuzi kama Warabu, uchuuzi haujengi uchumi wa nchi.
Viongozi waliolelewa na western christianit philosophy karibia wote walikuwa na fiscal discipline, wale wa Islamic philosophy wote wao ni kutumia, anasa, kuiba bila ya kujenga chochote kwa jasho na kubankrupt nchi!