Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Mkuu kwasasa per diem ni Tsh 15,000- Tsh 30,000 ( Halmashauri ) per day.Nimekuambia kikaokazi unataka nini zaidi mkuu??
Hiyo asilimia 23.3 yenyewe itawaongezea watumishi TAKE HOME ya estimately Tsh 42,000- Tsh 45,000 kulingana na mishahara ya mtu.
Sasa hizo per diem zinatoka wapi?