Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Nimekuambia kikaokazi unataka nini zaidi mkuu??
Mkuu kwasasa per diem ni Tsh 15,000- Tsh 30,000 ( Halmashauri ) per day.

Hiyo asilimia 23.3 yenyewe itawaongezea watumishi TAKE HOME ya estimately Tsh 42,000- Tsh 45,000 kulingana na mishahara ya mtu.

Sasa hizo per diem zinatoka wapi?
 
Katika Heading amesema ni tetesi
 
Mkuu kwasasa per diem ni Tsh 15,000- Tsh 30,000 ( Halmashauri ) per day.

Hiyo asilimia 23.3 yenyewe itawaongezea watumishi TAKE HOME ya estimately Tsh 42,000- Tsh 45,000 kulingana na mishahara ya mtu.

Sasa hizo per diem zinatoka wapi?
Rudia tena kusoma UZI
 
kutatokea mfumuko wa hatari wa bei, hizo hela wangezitumia kudhibiti bei ya mafuta, sio mnaenda kukopa hela etiu kudhibiti bei nya mafuta, huyu mama keshaanza kunipa wasiwasi
 
kutatokea mfumuko wa hatari wa bei, hizo hela wangezitumia kudhibiti bei ya mafuta, sio mnaenda kukopa hela etiu kudhibiti bei nya mafuta, huyu mama keshaanza kunipa wasiwasi
Acha watu wapate hela wameteseka sana wakati wa Jiwe
 
Ndio ila sio kujaza hela mtaani kiholela hivi, wakati tuna mfumuko wa bei
Kiholela vipi mkuu wakati mzunguko wa pesa utaongezeka na mamalishe watapata wateja maana saivi vijana wanajipilisha
 
Safari za mchongo zitashika kasi! Shamba la Bibi!
Tayari zimeshashika kasi mkuu.
Mahali ambapo rais angeweza kutumia balozi kumuwakilisha, anaenda waziri na msafara wake.
Keki ya taifa imepata walaji. Acha wengine tuendelee kuchangia tozo na kupambana na mfumuko wa bei. Ipo siku tutapata mtetezi, Mungu ni mwema!
 
Unahisi unawazidi? Au unaongelea TGS kuna watu wanaanza kazi wanakuzunguka mara4 usikariri huijui mashirika ya Umma na Taasisi za umma mnajuaga walimu na manesi tu
Unajua anaingiza bei gani kwa mwezi kupitia biashara zake? au ndo mambo ya cheap propaganda 🤣 🤣 🤣
 
Unajua anaingiza bei gani kwa mwezi kupitia biashara zake? au ndo mambo ya cheap propaganda 🤣 🤣 🤣
Huenda anafanya biashara, mtumishi pia anafanyabiashara ya akili yake na mshahara na haya mengineyo ni faida tu ya akili yake.
sasa biashara piga hesabu ya NET PROFIT halafu linganisha na kipato cha mfanyakazi ndio utaelewa
 
Kweli kila zama na kitabu chake, sasa hivi tunasoma kitabu kingine kabisa.

Sio kwamba serikali ilitakiwa ifanye subsidy kwenye bidhaa muhimu ili kupunguza mfumuko wa bei kuliko kuongeza hizo % na kuzidi kuongeza mfumuko wa bei za bidhaa muhimu?

Anyway, sijasomea uchumi wala sio mwajiriwa wa serikali, nisijeonekana roho mbaya[emoji1787]
 
Huenda anafanya biashara, mtumishi pia anafanyabiashara ya akili yake na mshahara na haya mengineyo ni faida tu ya akili yake.
sasa biashara piga hesabu ya NET PROFIT halafu linganisha na kipato cha mfanyakazi ndio utaelewa
Ingekuwa hvyo ungeona watumishi wa serikali kwenye list of billionaires duniani 🤣 🤣 .
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000

Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.

Your browser is not able to display this video.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…