Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili (Bodaboda) na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Songwe Jabir Omary Makame Leo August 9 katika Jogging iliyoandaliwa na Maafisa usafirishaji wilayani Mbozi Mkoani Songwe.
Madereva hao wamedai wamefikia hatua hiyo baada ya kupewa mikopo ya asilimia 10 yaliyobadili maisha yao, pia wameahidi kutokuwa kikwazo katika uchaguzi kwa kukwepa mihemho inayoweza kusababisha vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Aidha Rc Makame ametumia nafasi hiyo kuwaagiza Mamlaka ya Usafiri Ardhini Latra Mkoa wa Songwe kuacha tabia ya kukusanya ushuru kwa kuwakimbiza badala yake watumie vingozi wa makundi hayo kutoa elimu ya kulipa Kodi na Ushuru badala ya kukimbizana.