GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.

View attachment 3436668
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili (Bodaboda) na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Songwe Jabir Omary Makame Leo August 9 katika Jogging iliyoandaliwa na Maafisa usafirishaji wilayani Mbozi Mkoani Songwe.

View attachment 3436669
Madereva hao wamedai wamefikia hatua hiyo baada ya kupewa mikopo ya asilimia 10 yaliyobadili maisha yao, pia wameahidi kutokuwa kikwazo katika uchaguzi kwa kukwepa mihemho inayoweza kusababisha vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani.

Aidha Rc Makame ametumia nafasi hiyo kuwaagiza Mamlaka ya Usafiri Ardhini Latra Mkoa wa Songwe kuacha tabia ya kukusanya ushuru kwa kuwakimbiza badala yake watumie vingozi wa makundi hayo kutoa elimu ya kulipa Kodi na Ushuru badala ya kukimbizana.
Chadema watachukia 🤣🤣🤣
Ndio maana nasema nyie mkiona rais hafai wengine tunaona Samia ndio mkomboz wetu
Hii ndio democracy sasa
Octeber tunatiki 😃😃😃
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.

View attachment 3436668
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili (Bodaboda) na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Songwe Jabir Omary Makame Leo August 9 katika Jogging iliyoandaliwa na Maafisa usafirishaji wilayani Mbozi Mkoani Songwe.

View attachment 3436669
Madereva hao wamedai wamefikia hatua hiyo baada ya kupewa mikopo ya asilimia 10 yaliyobadili maisha yao, pia wameahidi kutokuwa kikwazo katika uchaguzi kwa kukwepa mihemho inayoweza kusababisha vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani.

Aidha Rc Makame ametumia nafasi hiyo kuwaagiza Mamlaka ya Usafiri Ardhini Latra Mkoa wa Songwe kuacha tabia ya kukusanya ushuru kwa kuwakimbiza badala yake watumie vingozi wa makundi hayo kutoa elimu ya kulipa Kodi na Ushuru badala ya kukimbizana.
Safari yetu bado ndefu sana lakini tutafika tu hatimaye.
 
Wao wenyewe hawajawahi kunywa supu hiyo...... anyway tuendelee kusave haya matukio ipo siku tukianza kusikia milio tutawakumbusha
 
HII NI SAWA NA MTU MWENYE MAJI KWENYE CHUPA KUMPA ZAWADI YA MAJI HAYO MTU MWENYE KISIMA

HAO NI WAPUMBAVU
Maskini unazani kazi yake ni kupewa tuh,
Kma una akili kma hizo bhc utaendelea kua fukara
 
Labda kama mgeni kwenye michezo hii siajabu kwamba hao mbuzi wametoka kwenye channel yake mwenyewe hao ni watu wanaotumika kukabidhi tu
 
Ada ya usajili wa bodaboda mama amepunguza, wana haki kumshukuru
 
maigizo ni mengi sana
kwamba alichukua form ila Mbuzi wa supu ndiyo wakakosa?
Eti Mbuzi wa Supu
hii ndiyo TZ
 
Kupewa mbuzi inamaanisha kuwa waliokupa hiyo zawadi wanakufananaisha na mbuzi tu kiuwezo wa kung'amua mambo
 
Mkuu una nia gani na Mm 😂
😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻 Kuna Watu Mnatamani Kua Hilo Tango🙌🏻 @story_mobuFollow👉🏻 @story_mobu #diamo.jpg
 
Back
Top Bottom