Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
H nchi bhana 😂 maskini anamchangia tajiriMaskini Wana shobo Sana Mpare
MBONA WAPUUZI WENGINE WANAMCHANGIA TONETONE KWA TAJIRI LISSU HAO NDIO MBUZZI KABISAH nchi bhana 😂 maskini anamchangia tajiri
HAPA WATU WANAUMIA SANA YAAANIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
View attachment 3436668
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili (Bodaboda) na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Songwe Jabir Omary Makame Leo August 9 katika Jogging iliyoandaliwa na Maafisa usafirishaji wilayani Mbozi Mkoani Songwe.
View attachment 3436669
Madereva hao wamedai wamefikia hatua hiyo baada ya kupewa mikopo ya asilimia 10 yaliyobadili maisha yao, pia wameahidi kutokuwa kikwazo katika uchaguzi kwa kukwepa mihemho inayoweza kusababisha vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Aidha Rc Makame ametumia nafasi hiyo kuwaagiza Mamlaka ya Usafiri Ardhini Latra Mkoa wa Songwe kuacha tabia ya kukusanya ushuru kwa kuwakimbiza badala yake watumie vingozi wa makundi hayo kutoa elimu ya kulipa Kodi na Ushuru badala ya kukimbizana.
Hilo ni igizo, hao ni uvccm na hizo ni pesa za jumuia!H nchi bhana 😂 maskini anamchangia tajiri
Sura ngumu!Script nzima kaandika nani kwanza maana kuna makosa kadhaa nayaona
SawaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
View attachment 3436668
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili (Bodaboda) na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Songwe Jabir Omary Makame Leo August 9 katika Jogging iliyoandaliwa na Maafisa usafirishaji wilayani Mbozi Mkoani Songwe.
View attachment 3436669
Madereva hao wamedai wamefikia hatua hiyo baada ya kupewa mikopo ya asilimia 10 yaliyobadili maisha yao, pia wameahidi kutokuwa kikwazo katika uchaguzi kwa kukwepa mihemho inayoweza kusababisha vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Aidha Rc Makame ametumia nafasi hiyo kuwaagiza Mamlaka ya Usafiri Ardhini Latra Mkoa wa Songwe kuacha tabia ya kukusanya ushuru kwa kuwakimbiza badala yake watumie vingozi wa makundi hayo kutoa elimu ya kulipa Kodi na Ushuru badala ya kukimbizana.
Aisee
Ni hapa Bongo tu ndio maskini huwachangia matajiri.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
View attachment 3436668
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili (Bodaboda) na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Songwe Jabir Omary Makame Leo August 9 katika Jogging iliyoandaliwa na Maafisa usafirishaji wilayani Mbozi Mkoani Songwe.
View attachment 3436669
Madereva hao wamedai wamefikia hatua hiyo baada ya kupewa mikopo ya asilimia 10 yaliyobadili maisha yao, pia wameahidi kutokuwa kikwazo katika uchaguzi kwa kukwepa mihemho inayoweza kusababisha vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Aidha Rc Makame ametumia nafasi hiyo kuwaagiza Mamlaka ya Usafiri Ardhini Latra Mkoa wa Songwe kuacha tabia ya kukusanya ushuru kwa kuwakimbiza badala yake watumie vingozi wa makundi hayo kutoa elimu ya kulipa Kodi na Ushuru badala ya kukimbizana.
Lile chawi la msoma?Sura ngumu!