Chadema watachukia π€£π€£π€£Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
View attachment 3436668
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili (Bodaboda) na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Songwe Jabir Omary Makame Leo August 9 katika Jogging iliyoandaliwa na Maafisa usafirishaji wilayani Mbozi Mkoani Songwe.
View attachment 3436669
Madereva hao wamedai wamefikia hatua hiyo baada ya kupewa mikopo ya asilimia 10 yaliyobadili maisha yao, pia wameahidi kutokuwa kikwazo katika uchaguzi kwa kukwepa mihemho inayoweza kusababisha vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Aidha Rc Makame ametumia nafasi hiyo kuwaagiza Mamlaka ya Usafiri Ardhini Latra Mkoa wa Songwe kuacha tabia ya kukusanya ushuru kwa kuwakimbiza badala yake watumie vingozi wa makundi hayo kutoa elimu ya kulipa Kodi na Ushuru badala ya kukimbizana.
Wameona mchango wake.we hujaona Asa makasiriko ya nnNi hapa Bongo tu ndio maskini huwachangia matajiri.
Safari yetu bado ndefu sana lakini tutafika tu hatimaye.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
View attachment 3436668
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili (Bodaboda) na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Songwe Jabir Omary Makame Leo August 9 katika Jogging iliyoandaliwa na Maafisa usafirishaji wilayani Mbozi Mkoani Songwe.
View attachment 3436669
Madereva hao wamedai wamefikia hatua hiyo baada ya kupewa mikopo ya asilimia 10 yaliyobadili maisha yao, pia wameahidi kutokuwa kikwazo katika uchaguzi kwa kukwepa mihemho inayoweza kusababisha vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Aidha Rc Makame ametumia nafasi hiyo kuwaagiza Mamlaka ya Usafiri Ardhini Latra Mkoa wa Songwe kuacha tabia ya kukusanya ushuru kwa kuwakimbiza badala yake watumie vingozi wa makundi hayo kutoa elimu ya kulipa Kodi na Ushuru badala ya kukimbizana.
Maskini unazani kazi yake ni kupewa tuh,HII NI SAWA NA MTU MWENYE MAJI KWENYE CHUPA KUMPA ZAWADI YA MAJI HAYO MTU MWENYE KISIMA
HAO NI WAPUMBAVU
SAWA MASIKINI UNAESAIDIA MATAJIRIMaskini unazani kazi yake ni kupewa tuh,
Kma una akili kma hizo bhc utaendelea kua fukara
Eeeh kasusaπ€£π€£SAWA MASIKINI UNAESAIDIA MATAJIRI
Mkuu una nia gani na Mm π
Mkuu una nia gani na Mm π
Naona godoro limelowa, mtuhumiwa amepumzika eneo la tukio na silaha yake π₯
π π kaaa mbali sana na mishangazi.. ndio maana hairidhiki na vibamia vyetuNaona godoro limelowa, mtuhumiwa amepumzika eneo la tukio na silaha yake π₯
Dah sisi wenye vibamia na ukiwa huna pesa ndo hatari zaid ππ π kaaa mbali sana na mishangazi.. ndio maana hairidhiki na vibamia vyetu