mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Chadema haihusiki màna walikataa Ruzuku,Kwenye vyama mbona sijaonaCCM CHADEMA na ACT? Au wao hawakaguliwi?
CCM na NGOGWE ndiyo wanasitahili kukaguliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema haihusiki màna walikataa Ruzuku,Kwenye vyama mbona sijaonaCCM CHADEMA na ACT? Au wao hawakaguliwi?
Ndio maana hivi vyama vinataka mchakato wa katiba uanze 2029CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP hati yenye shaka, SAU hati yenye shaka, Demokrasia makini hati yenye shaka, AFP tulishindwa kutoa maoni.
Tilion 7 zimetumika kufanyanyia kitu gani ?Hangaya ndani ya miezi 3 akakopa tililioni 7
Alafu kuna mipumabvu inasema eti Magu alikopa sana
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Lazima kwasababu kashaacha kukusanya Kodi kwaiyl lazima akope na ategemee wahisani ili aweze kuendesha serikali kwa matumizi ya kawaida ndiyo maana juzi maji yamemfika shingoni akasema hawezi kuajiri kila mwaka, Mkuu wa Magereza alimuomba atoe kibali cha ajira Magereza waajiri ata lasaba C kama kuajiri wasomi pesa hakunaUjue Hii Ripoti Inamvua Sana Nguo Hangaya.
.
Kwenye Mabaya anasema Mimi Sikuwa Sehemu ya serikali.
.
Kwenye mazuri Utakuta anajisifu na yeye alishiriki.
.
Just imagine within 3 months umekopa Seven Tii, ikifika 2025 atakuwa amekopa Ngapi?
Inasikitisha sanaZIPO KISIASA ZAIDI WATU KWENYE MAWIZARA NA MASHIRIKA WANAPIGA PESA KAMA VICHAA HAKUNA HATUA ZINAZOCHUKULIWA NCHI HII NI SHAMBA LA BIBI
Hapa pana kituko kwa hiyo CAG alitakaje? Michango ya Pension za walioko kazini ndio pekee zitumike kulipa wastaafu?MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
=>Kwa miaka mitatu mfululizo, mafao ya pensheni ya mfuko wa hifadhi ya jamii wa sekta ya umma yalizidi mapato yatokanayo na michango kwa mwaka husika.
=> Kwa mwaka 2020/21 mafao yalizidi kwa bilioni 767, 2019/20 yalizidi kwa bilioni 232 na mwaka 2018/2019 yalizidi kwa bilioni 307.
Nadhani tatizo halikuwa kukopa, tatizo lilikuwa ni uwazi basi! Unakopa huku wananchi unawaambia serikali inatumia fedha zake za ndani kwenye miradi mikubwa. Ukikopa ukasema na sababu za kukopa zikaeleweka, nadhani hakutakuwa na kelele kubwa.Hangaya ndani ya miezi 3 akakopa tililioni 7
Alafu kuna mipumabvu inasema eti Magu alikopa sana
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Serikali haikusanyi Kodi kwa matajiri kwaiyo tegemeo lake ni kukopa tuDeni la taifa linapaishwa na nini mbona hata kipindi cha JK halikuwa likipanda kwa speed hii au kuna mpango wa kuuza nchi kupitia hili deni
Report imesema hilo, isome vizuri kama ilivyoletwa hapo juu, na namba zimewekwa kuhusu hilo.Hizi ripoti huwa wazinafanyia kazi au tunapoteza muda
Democrasia makini hujaonaKwenye vyama mbona sijaonaCCM CHADEMA na ACT? Au wao hawakaguliwi?
Kulipa mishahara, mikopo, jnhpp, jiwe bridge, sgr, kula kwa urefu wa kamba zao etc
Kwani takukuru bado ipo? Baada ya jiwe sijawahi kuisikia tenaHata Takukuru angeifumua yote na kuiunda upya soon aanze na Vetting kwa watumishi wake
IPO Kama kichaka Cha wezi tuKwani takukuru bado ipo? Baada ya jiwe sijawahi kuisikia tena
IPO Kama kichaka Cha wezi tuKwani takukuru bado ipo? Baada ya jiwe sijawahi kuisikia tena