Tanzania we iba utafukuzwa uondoke na ulichoiba ndio maana watu hawaachi kuiba. Mtu ndani ya mwaka anaiba pesa ambayo inazidi jumla ya mshahara wake toka anaanza kazi mpaka kustaafu π€£Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amemtaka Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa kuwafukiza Kazi watendaji na watumishi watakaobainika kuiba pesa za umma.
Rais alikuwa akizungumza Kuhusu mishahara hewa na watumishi hewa.
Kazi iendelee π
View attachment 2170223
View attachment 2170224
Huu utaratibu inabidi ubadilishwe.Tabzania we iba utafukuzwa uondoke na ulichoiba ndio maana watu hawaachi kuiba. Mtu ndani ya mwaka anaiba pesa ambayo inazidi jumla ya mshahara wake toka anaanza kazi mpaka kustaafu π€£
Kabisa mkuu... Ubaya ni kwamba hawadeal na tatizo yale yale ya madudu ya bandari kila siku yanajirudiaHuu utaratibu inabidi ubadilishwe.
Pia ishu ya wafanyakazi hewa ni mambo ya afisa utumishi na mkaguzi wa ndani.
Natarajia Sehemu yeyote ikibainika hivi sio tuu hao wafukizwe bali washtakiwe kwa uhujumu uchumi.
Huu utaratibu inabidi ubadilishwe.
Pia ishu ya wafanyakazi hewa ni mambo ya afisa utumishi na mkaguzi wa ndani.
Natarajia Sehemu yeyote ikibainika hivi sio tuu hao wafukizwe bali washtakiwe kwa uhujumu uchumi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amemtaka Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa kuwafukiza Kazi watendaji na watumishi watakaobainika kuiba pesa za umma.
Rais alikuwa akizungumza Kuhusu mishahara hewa na watumishi hewa.
Kazi iendelee π
View attachment 2170223
View attachment 2170224