Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Huyo ni balozi tu, kuwa mwarabu haimaanishi ndio mwanazuoni mkubwa.Na shekh kavaa kanzu inagusa chini kabisa, Ila Huku Bongo kuna Wana wanavaa ,nguo zinaishia kwenye ugoko 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni balozi tu, kuwa mwarabu haimaanishi ndio mwanazuoni mkubwa.Na shekh kavaa kanzu inagusa chini kabisa, Ila Huku Bongo kuna Wana wanavaa ,nguo zinaishia kwenye ugoko 😂
Haya wewe ambaye Sio balozi Una vaaje?😂Huyo ni balozi tu, kuwa mwarabu haimaanishi ndio mwanazuoni mkubwa.
Pole sanaSaudis wana ramani ya madini ypote Tanzania ....kuna mbuga imetolewa Tanapa ili iwe pori wapewe wao.....wachimbe dhahabu khaaa
Wazanzibar hawana huruma rasilimali za baraPole sana
Ndugu yangu hizo kanzu zinazoishia kwenye ugoko zinaitwa kanzu kipande ni hatariNa shekh kavaa kanzu inagusa chini kabisa, Ila Huku Bongo kuna Wana wanavaa ,nguo zinaishia kwenye ugoko 😂
Mimi siburuzi kanzu kama dera, iko haiburuziki chini.Haya wewe ambaye Sio balozi Una vaaje?😂
Nguo ya kupewa haisitiri uchiNdugu yangu hizo kanzu zinazoishia kwenye ugoko zinaitwa kanzu kipande ni hatari
WEEE KOMA UKOMEKE !!!! NYAUHawa wana agenda ya kuiongeza madhabahu za majini Tz