Rais Samia apokea Ujumbe Maalum toka kwa Mfalme wa Saudi Arabia

Sawa, mfalme anahitaji nini? Bado tuma vitu kibao....mito, maziwa, mbuga vyote hivi vipo
 
Na shekh kavaa kanzu inagusa chini kabisa, Ila Huku Bongo kuna Wana wanavaa ,nguo zinaishia kwenye ugoko πŸ˜‚
Ndugu yangu hizo kanzu zinazoishia kwenye ugoko zinaitwa kanzu kipande ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…