Safi Sana mh Rais kwa Kuendelea kupokea wageni mbalimbali ambao kwa Sasa wanaiona Tanzania Kama Nchi ya ahadi ambayo kila mtu anatamani kufika,kila kiongozi kwa Sasa anatamani kuitembelea Tanzania na kuonana na mh Rais ili kujenga mahusiano mema ya kidiplomasia. Tanzania Ni Kama maji Sasa Usipoyanywa utayaoga tu