Rais Samia apokea ujumbe maalum wa Rais wa DRC

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Profesa Serge Tshibangu Ikulu Chamwino-Dodoma Aprili 17, 2023.

Wanajamvi naamini hii ni “move” nzuri kuendeleza mahusiano ya kibiashara na DRC yenye soko kubwa zaidi kwenye EAC

19A5071A-8FA2-47DE-96EC-58EC8591F9B4.jpeg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Profesa Serge Tshibangu Ikulu Chamwino-Dodoma Aprili 17, 2023.

Wanajamvi naamini hii ni “move” nzuri kuendeleza mahusiano ya kibiashara na DRC yenye soko kubwa zaidi kwenye EAC
View attachment 2591177
Soko la ulinzi tu hakuna soko la bidhaa

USSR
 
Unapaswa ufahamu kuwa

DRC inaimani na inaiamini Tanzania kuliko nchi yoteyote ile.

Kwa maana hiyo Tanzania na DRC na marafiki wa ndani haswaa.
 
Marais wenzake east africa wanasema samia hana siri, kenya walikuja kuomba kudhaminiwa mkopo wakadhaminiwa siku ya chadema ya wanawake rais akayaropoka, ajitahidi awe anatunza siri za majirani zetu
 
Tunapaswa kuongeza juhudi za kuisaidia DRC ktk jitihada zake za kuwa stable kiusalama kwa kuwa ni majirani na rafiki zetu. Kwa kufanya hivyo tunajijengea heshima zaidi kwa majirani zetu, kuaminiwa, na hivyo kufungua fulsa zaidi za kufanya nao biashara na mwingiliano wa kiuchumi.
 
Soko la ulinzi tu hakuna soko la bidhaa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mambo ninayoweza kumsifu mama ni kutofuata utapeli wa Uhuru na M7 katika swala la jeshi huko DRC.

Kuhusu hilo "soko la bidhaa" inaonyesha wewe uko dunia nyingine kabisa.
Hili ndilo soko hasa, achana na ujinga wa huko tunakopoteza muda na kelele nyingi, kama Kenya.
 
Tunapaswa kuongeza juhudi za kuisaidia DRC ktk jitihada zake za kuwa stable kiusalama kwa kuwa ni majirani na rafiki zetu. Kwa kufanya hivyo tunajijengea heshima zaidi kwa majirani zetu, kuaminiwa, na hivyo kufungua fulsa zaidi za kufanya nao biashara na mwingiliano wa kiuchumi.
Watualike wenyewe, siyo kujipeleka kama wanavyofanya sasa hivi hao wengine, wakisukumwa zaidi na maslahi yao wenyewe.

Matokeo yake ndiyo hayo ya kutoaminiwa na wananchi wa huko kama ilivyo sasa.
 
Badala ya kutengeneza mazingira rafiki ya kimahusiano wewe unasubiri kualikwa? Basi we subiri kualikwa wakati wenzio wanatafuta means za kuingia huko kwa maslahi mapana ya nchi zao!
 
Nilijua huna kitu unachojua.

Mazingira rafiki kwako ni kupeleka jeshi katika hali isiyoeleweka?

Hujasikia wananchi wa huko wanavyopinga hilo jeshi feki linalopelekwa kwenda kushirikiana na M23?

Hata kabla ya kuandika hayo uliyoandika hapa kuonyesha usivyojua historia ya nchi hii!
Hujui kwamba tulikuwa vinara katika maswala ya ukombozi..., na bado hutaelewa ninacholenga hapa ukitambue.
 
Wapi niliposema kupeleka jeshi? Yani hata kusoma na kuelewa nako ni tatizo! Nyie vitoto vya siku hizi mna tatizo kubwa sana
 
Kuna soko zuri sana la kongo haswa upande wa Goma huku ila tumeliacha Wakenya wanatalawa
 
Wapi niliposema kupeleka jeshi? Yani hata kusoma na kuelewa nako ni tatizo! Nyie vitoto vya siku hizi mna tatizo kubwa sana
EeeenHeeee!

Uliponi'quote' hukujua ninachozungumzia?

Ngoja nikuache tu na hilo, kwa maana naona hayo mengine unajidhalilisha tu mwenyewe.
 
Katika mambo ninayoweza kumsifu mama ni kutofuata utapeli wa Uhuru na M7 katika swala la jeshi huko DRC.

Kuhusu hilo "soko la bidhaa" inaonyesha wewe uko dunia nyingine kabisa.
Hili ndilo soko hasa, achana na ujinga wa huko tunakopoteza muda na kelele nyingi, kama Kenya.
Nimemshangaa. DRC ni soko muhimu sana kwetu.
 
Marais wenzake east africa wanasema samia hana siri, kenya walikuja kuomba kudhaminiwa mkopo wakadhaminiwa siku ya chadema ya wanawake rais akayaropoka, ajitahidi awe anatunza siri za majirani zetu
Wababa tunasemaga hilo ni tatizo la kibaiolojia...🤣
 
DRC inatumia Bandari ya Dar es Salaam kwa asilimia 50 kusafirisha mizigo mbalimbali na kwa kuwa imeingia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, ulinzi na usalama wa nchi hiyo unaimarika hivyo uchumi wa Tanzania utachangamka hasa katika mikoa ya Dar, Kigoma na Katavi iwapo itatumia fursa hii mujarab.
 
EeeenHeeee!

Uliponi'quote' hukujua ninachozungumzia?

Ngoja nikuache tu na hilo, kwa maana naona hayo mengine unajidhalilisha tu mwenyewe.
Tatizo lenu watoto wa siku hizi kusoma ni shida, na kuelewa ndiyo kabisa. Afadhali umechomoa mapema. Bye 👋
 
Back
Top Bottom