wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hujajosea mke wangu.Wewe ni mtu wa hovyoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajosea mke wangu.Wewe ni mtu wa hovyoo.
Nilitaka niwe mpole kwako ili nikupe funzo, lakini naona umekwishatambua kosa lako lilipo.Tatizo lenu watoto wa siku hizi kusoma ni shida, na kuelewa ndiyo kabisa. Afadhali umechomoa mapema. Bye 👋
Huyu hataki yale mambo ya tunatumia fedha zetu za ndani kumbe tunahangaika na commercial loansMarais wenzake east africa wanasema samia hana siri, kenya walikuja kuomba kudhaminiwa mkopo wakadhaminiwa siku ya chadema ya wanawake rais akayaropoka, ajitahidi awe anatunza siri za majirani zetu
Tolu hana maajabu Wacongo wamekuja kwa ndugu zao Watanzania ili wakawasaidie kurudisha kunguni zilipotokea.Na bidhaa kubwa kabisa Congo inayo-export kuja Tz Ni Vumbi la mkongo.