Soko la ulinzi tu hakuna soko la bidhaaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Profesa Serge Tshibangu Ikulu Chamwino-Dodoma Aprili 17, 2023.
Wanajamvi naamini hii ni “move” nzuri kuendeleza mahusiano ya kibiashara na DRC yenye soko kubwa zaidi kwenye EAC
View attachment 2591177
Unapaswa ufahamu kuwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Profesa Serge Tshibangu Ikulu Chamwino-Dodoma Aprili 17, 2023.
Wanajamvi naamini hii ni “move” nzuri kuendeleza mahusiano ya kibiashara na DRC yenye soko kubwa zaidi kwenye EAC
View attachment 2591177
Tunapaswa kuongeza juhudi za kuisaidia DRC ktk jitihada zake za kuwa stable kiusalama kwa kuwa ni majirani na rafiki zetu. Kwa kufanya hivyo tunajijengea heshima zaidi kwa majirani zetu, kuaminiwa, na hivyo kufungua fulsa zaidi za kufanya nao biashara na mwingiliano wa kiuchumi.Unapaswa ufahamu kuwa
DRC inaimani na inaiamini Tanzania kuliko nchi yoteyote ile.
Kwa maana hiyo Tanzania na DRC na marafiki wa ndani haswaa.
Katika mambo ninayoweza kumsifu mama ni kutofuata utapeli wa Uhuru na M7 katika swala la jeshi huko DRC.
Watualike wenyewe, siyo kujipeleka kama wanavyofanya sasa hivi hao wengine, wakisukumwa zaidi na maslahi yao wenyewe.Tunapaswa kuongeza juhudi za kuisaidia DRC ktk jitihada zake za kuwa stable kiusalama kwa kuwa ni majirani na rafiki zetu. Kwa kufanya hivyo tunajijengea heshima zaidi kwa majirani zetu, kuaminiwa, na hivyo kufungua fulsa zaidi za kufanya nao biashara na mwingiliano wa kiuchumi.
Yaan kukopa na kudhaminiwa ni Siri. Basi bara la Africa KAZI tunayo aseeeMarais wenzake east africa wanasema samia hana siri, kenya walikuja kuomba kudhaminiwa mkopo wakadhaminiwa siku ya chadema ya wanawake rais akayaropoka, ajitahidi awe anatunza siri za majirani zetu
Badala ya kutengeneza mazingira rafiki ya kimahusiano wewe unasubiri kualikwa? Basi we subiri kualikwa wakati wenzio wanatafuta means za kuingia huko kwa maslahi mapana ya nchi zao!Watualike wenyewe, siyo kujipeleka kama wanavyofanya sasa hivi hao wengine, wakisukumwa zaidi na maslahi yao wenyewe.
Matokeo yake ndiyo hayo ya kutoaminiwa na wananchi wa huko kama ilivyo sasa.
Nilijua huna kitu unachojua.Badala ya kutengeneza mazingira rafiki ya kimahusiano wewe unasubiri kualikwa? Basi we subiri kualikwa wakati wenzio wanatafuta means za kuingia huko kwa maslahi mapana ya nchi zao!
Wapi niliposema kupeleka jeshi? Yani hata kusoma na kuelewa nako ni tatizo! Nyie vitoto vya siku hizi mna tatizo kubwa sanaNilijua huna kitu unachojua.
Mazingira rafiki kwako ni kupeleka jeshi katika hali isiyoeleweka?
Hujasikia wananchi wa huko wanavyopinga hilo jeshi feki linalopelekwa kwenda kushirikiana na M23?
Hata kabla ya kuandika hayo uliyoandika hapa kuonyesha usivyojua historia ya nchi hii!
Hujui kwamba tulikuwa vinara katika maswala ya ukombozi..., na bado hutaelewa ninacholenga hapa ukitambue.
EeeenHeeee!Wapi niliposema kupeleka jeshi? Yani hata kusoma na kuelewa nako ni tatizo! Nyie vitoto vya siku hizi mna tatizo kubwa sana
Nimemshangaa. DRC ni soko muhimu sana kwetu.Katika mambo ninayoweza kumsifu mama ni kutofuata utapeli wa Uhuru na M7 katika swala la jeshi huko DRC.
Kuhusu hilo "soko la bidhaa" inaonyesha wewe uko dunia nyingine kabisa.
Hili ndilo soko hasa, achana na ujinga wa huko tunakopoteza muda na kelele nyingi, kama Kenya.
Wababa tunasemaga hilo ni tatizo la kibaiolojia...🤣Marais wenzake east africa wanasema samia hana siri, kenya walikuja kuomba kudhaminiwa mkopo wakadhaminiwa siku ya chadema ya wanawake rais akayaropoka, ajitahidi awe anatunza siri za majirani zetu
Na bidhaa kubwa kabisa Congo inayo-export kuja Tz Ni Vumbi la mkongo.Nimemshangaa. DRC ni soko muhimu sana kwetu.
Tatizo lenu watoto wa siku hizi kusoma ni shida, na kuelewa ndiyo kabisa. Afadhali umechomoa mapema. Bye 👋EeeenHeeee!
Uliponi'quote' hukujua ninachozungumzia?
Ngoja nikuache tu na hilo, kwa maana naona hayo mengine unajidhalilisha tu mwenyewe.
Wewe ni mtu wa hovyoo.Na bidhaa kubwa kabisa Congo inayo-export kuja Tz Ni Vumbi la mkongo.