wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Apr 18, 2023 #21 Midimay said: Wewe ni mtu wa hovyoo. Click to expand... Hujajosea mke wangu.
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Apr 18, 2023 #22 Natumaini hili suala la watanzania kuhitajika kuwa na visa kuingiza DRC watalirekebisha, kwa kuwa ni eneo la Africa Mashariki sasa.
Natumaini hili suala la watanzania kuhitajika kuwa na visa kuingiza DRC watalirekebisha, kwa kuwa ni eneo la Africa Mashariki sasa.
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Apr 18, 2023 #23 UmkhontoweSizwe said: Tatizo lenu watoto wa siku hizi kusoma ni shida, na kuelewa ndiyo kabisa. Afadhali umechomoa mapema. Bye 👋 Click to expand... Nilitaka niwe mpole kwako ili nikupe funzo, lakini naona umekwishatambua kosa lako lilipo. Basi, usirudie tena kurukia kujibu jambo ambalo hujalielewa linahusu nini.
UmkhontoweSizwe said: Tatizo lenu watoto wa siku hizi kusoma ni shida, na kuelewa ndiyo kabisa. Afadhali umechomoa mapema. Bye 👋 Click to expand... Nilitaka niwe mpole kwako ili nikupe funzo, lakini naona umekwishatambua kosa lako lilipo. Basi, usirudie tena kurukia kujibu jambo ambalo hujalielewa linahusu nini.
Muju4 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5,489 Reaction score 7,446 Apr 18, 2023 #24 Arovera said: Marais wenzake east africa wanasema samia hana siri, kenya walikuja kuomba kudhaminiwa mkopo wakadhaminiwa siku ya chadema ya wanawake rais akayaropoka, ajitahidi awe anatunza siri za majirani zetu Click to expand... Huyu hataki yale mambo ya tunatumia fedha zetu za ndani kumbe tunahangaika na commercial loans
Arovera said: Marais wenzake east africa wanasema samia hana siri, kenya walikuja kuomba kudhaminiwa mkopo wakadhaminiwa siku ya chadema ya wanawake rais akayaropoka, ajitahidi awe anatunza siri za majirani zetu Click to expand... Huyu hataki yale mambo ya tunatumia fedha zetu za ndani kumbe tunahangaika na commercial loans
Muju4 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5,489 Reaction score 7,446 Apr 18, 2023 #25 wa kupuliza said: Na bidhaa kubwa kabisa Congo inayo-export kuja Tz Ni Vumbi la mkongo. Click to expand... Tolu hana maajabu Wacongo wamekuja kwa ndugu zao Watanzania ili wakawasaidie kurudisha kunguni zilipotokea.
wa kupuliza said: Na bidhaa kubwa kabisa Congo inayo-export kuja Tz Ni Vumbi la mkongo. Click to expand... Tolu hana maajabu Wacongo wamekuja kwa ndugu zao Watanzania ili wakawasaidie kurudisha kunguni zilipotokea.