Rais Samia apokelewa Kifalme China

Daah wachina barna wanatusimika sana! Basi hapo maza anajikuta ileee,kumbe anaenda kupigwa! Daah
 
Yajayo yanafurahisha, mapokezi hayo sio bure.
 

Attachments

  • Screenshot_20221103_114447.png
    27.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221103_114540.png
    34.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221103_114413.png
    109.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221103_114558.png
    22.5 KB · Views: 2
Kule uarabuni walimuweka kwenye jengo refu duaniani, matokeo yake tukayaona Loliondo
 
Sema Samia hajaamini, maana kule USA alifika hakuna aliyekuwa na time naye China kaona gep kama dem anadanga halafu mabwana wanamchunia basi atakuwa easy ball. Sasa China ni kubatua tu.
Kule US alipokelewa na dada wa taifa MangeKimambi
 
Hakuna asiyetaka maendeleo unasema china wana win win situation umesahau walichofanya huko kwingine?
Sisi tunajulikana siku zote tunaingia mikataba ya ya chief mangungu, tunapewa vioo wanachukua almasi
Mimi bado nashangaa watu wanaoamini wachina watatoka huko kuja kuwaletea wao Maendeleo. Hizi akili sijui zio likizo? Kabisa mtu yupo fukayosi bagamoyo anasubiri mchina aje kumletea Maendeleo?
 
Kazi gani wewe kilaza umeiona hapo zaidi ya kutembeza bakuli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Safi sana mama Samia Rais wetu amri jeshi mkuu Mungu akutangulie na akujalie afya na maisha marefu. Uliletwa kuwa rais na Mungu kwa maksud mahsus.
Walimu vwametuharibia jukwaa,MTU anazungumzia mapokezi yenye ukakasi ww unasifia tu huo pia ni ushamba.
 
Walimu vwametuharibia jukwaa,MTU anazungumzia mapokezi yenye ukakasi ww unasifia tu huo pia ni ushamba.
Mtu akishakua mwalimu tu hata uwezo wake wakufikiri huwa unaondoka anakua kama kuku.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakunakitukama hichomamayukovizuri kulikoyule mshambawa buingichato
 
Ching yang kung! Nchi huuzwa hivyo!
yang king
 

Watanzania bado hatujawa tayari kuifanya relationship na wachina au mataifa ya ulaya na USA in a mutual benefits,hapa tumepigwa na kitu kizito kichwani.
 
Walimu vwametuharibia jukwaa,MTU anazungumzia mapokezi yenye ukakasi ww unasifia tu huo pia ni ushamba.

Waalimu Tena wameingiaje hapa?!

Matokeo ya kudharau elimu ndiyo hayo tuyaonayo kwa viongozi wetu.
Hivi Kwanini viongozi wa kiafrika wanakosa self confidence!??!

Kuna haja ya kuiangalia upya hii elimu inayotuzalishia wataalamu mbalimbali ndani ya nchi yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…