Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Daah wachina barna wanatusimika sana! Basi hapo maza anajikuta ileee,kumbe anaenda kupigwa! DaahHaya mapokezi kutoka China si ya kawaida. Wamemfanya Rais ajione wa maana ili watupige na kitu kizito
Bandari ya Bagamoyo huenda ikaenda China. Tanzania sasa inapiganiwa na pande zote; huku Waarabu, huku Marekani, huku China. Ni Ulaya pekee haijaonesha nia.
View attachment 2405345