Rais Samia arejea nchini akitokea Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa

Rais Samia arejea nchini akitokea Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amerejea na kuwasili salama kabisa akiwa mwenye furaha, bashasha na tabasamu katika ardhi ya nchi yake usiku huu akitokea Afrika ya Kusini.

Ambako alikwenda kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Taifa hilo Mheshimiwa Cyril Ramaphosa aliyechukua na kuapishwa kushika kiti cha Uraisi kwa Muhula wa pili.

Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema na Fadhila kwa kumsafirisha vyema Rais wetu na hatimaye kurejea na kufika salama kabisa Nchini akiwa mwenye afya njema na Tabasamu.

Tuendelee kumuombea Rais Wetu Mpendwa ili Mungu aendelee kumlinda, kumtetea na kumpigania wakati wote pamoja na kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Rais Samia ndio nuru na tumaini letu watanzania, ndio nyota ya matumaini na muongoza njia wetu katika kuelekea nchi ya ahadi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Samia 0.jpg

Samia 1.jpg

---------

Akiondoka.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa iliofanyika Pretoria tarehe 19 Juni, 2024.

PIA, SOMA:

 
Ndiyo legacy atakayotuachia watanzania
 
kwani kuna mahali alikuwa akiwindwa huko angani?,
 
Lucas mbona swala la sukari hujaligusia mzalendo wetu.Ww uko busy na safari za mama ama ww sukari haikuhusu uzalendo sio kusifia tu na kukemea mabaya.
Mimi huwa sikurupuki wala kufuata mkumbo wala kuwa na mihemuko .mimi naandika jambo baada ya kufanya uchunguzi wa kina na kujuwa wapi panastahili mimi kuzungumza au kutoa ushauri.ndio maana nipo kimya kwa sasa ili kutafuta UKWELI wa yanayoendelea
 
Hili nalo nendeni mkalitizame
 

Attachments

  • Screenshot_2024-06-19-20-11-33-1.png
    Screenshot_2024-06-19-20-11-33-1.png
    668.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom